Tabora: Maiko Jacobo amuua baba yake kwa shoka kisa imani za kishirikina

Tabora: Maiko Jacobo amuua baba yake kwa shoka kisa imani za kishirikina

Hiyo mikoa; Tabora, Shinyanga, Kigoma, Rukwa sijui lini watu wake watabadilika na kuachana na hizi imani za giza/ushirikina.

Viongozi wetu wa dini wanapaswa wafanye jitihada katika maeneo haya ili kuondoa imani hizi ambazo mwisho wake ni mauaji.
Bila kuiweka Arusha hii list Ni batili
 
Back
Top Bottom