Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Inasikitisha kinachotokea Tabora hata vyombo vya habari havitilii maanani. Pana siku maduka eneo la soko kuu yalifungwa na pakawa na kikao asubuhi tu.Ingieni barabarani muikomboe nchi yenu
Kilichonishangaza habari hiyo ikatoka kesho yake tena saa mbili usiku.
Hii ya mafuta ya gari imetokea alhamisi lakini sijaona hata gazeti likiiandika kwa jana na leo. Sifahamu kama habari hii ilisomwa kwenye TVs kwani kama kawaida TANESCO waliuchukua umeme wao.