DOKEZO Tabora Mjini hali tete, mafuta hakuna! Maji hakuna

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu, elewa kwa sasa tabora kuna mgao mkubwa wa maji, nafikiri hii imetokana na kina cha maji kwenye bwawa kushuka sababu ya kiangazi.
Bwawa lipi?!? Tabora maji yanatoka ziwani..! Taasisi na watu wachache sana wameungwa kwenye line ya bwawa la igombe! Na hao wa igombe ndiyo angalau wanapata maji kwa kiasi...!
 
Halafu bulldozer yupo hapo mmmm watu wamefurika, mbona watu watateseka kama ni hivyo , na ule mji ulivyo.
 
Kwa maana hiyo serikali pia ni ya hovyo hapa Tabora sio!?? Kwahiyo makazini kesho twende by foot!? How serious are we..?!

Hivi imagine watu vyombo vyao vya usafirishaji havina mafuta! Watu wana wagonjwa usiku huu wamezidiwa inamaana wawabebe mikononi kuwawaisha hospital!?

Hivi unajua hivi sasa huko KIZIMKAZI KUNA NINI KINAENDELEA!??
Inasikitisha mno. Nauli za pikipiki (bodaboda) na bajaji zimepanda.
 
Niendee moja kwa moja kwenye mada husika!

Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta!

Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta!

Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi wowote!

Mkoa huu wa kishu'shu'shu na KI'CCM hali ni tete..! Mkoa umebaki mtupu hakuna mtetezi!

Nikumbushe kuwa jumatano ijayo ya mwanzo wa mwezi kwa fununu zilizopo EWURA wanatangaza bei mpya za mafuta, kitu ambacho kinatarajiwa, ni mafuta kupaa zaidi bei.

Nikumbushe pia mwezi mmoja uliopita ilitokea taharuki kama hii ya sasa, na kuonekana baadhi ya wafanyabiashara wakificha mafuta na baada ya wiki moja na nusu mafuta yakapaa kwa bei ambayo haijawahi kushuhudiwa kwa kizazi hiki cha miaka 30 iliyopita!

SHIDA YA MAJI
Maji pia yamekuwa shida, zaidi ya wiki sasa maji hayapatikani...!
Hali ni mbaya tumefika pabaya!!
Mtaji Waziri Biteko
 
Serikali yako sikivu haiwezi kufanya hivyo

Ova
Hiyo wizara kwa sasa amepewa Naibu waziri Mkuu maana yake yeye ndio naibu mkuu wa shughuli zote za serikali na amepewa rungu la kuiagiza wizara yeyote tumpe muda kidogo atanyoosha naamini.
 
Maji ya tabr kwa sasa yanatokea ziwa Viktoria hivyo hatutegemei yakauke, labda mamlaka yenu ya maji Ina changamoto.
 
Ukiona hivyo ujiandae kusikia Ewura wametangaza bei mpya leo mafuta yanapanda kesho fuel station hizo hizo kesho utashangaa mafuta wanayo na utauziwa mafuta kwa bei ya juu ni mwendo wa super profit, kwa Dar wenye tabia hiyo sana ni Total.

Ningekuwa na mamlaka ningelitumia Jeshi kukomesha tabia hii nchi nzima, unaanzisha msako wa filling station zote ambazo wanasema hawana mafuta wanasachi visima vyote atakayekutwa amefungia mafuta anafutiwa Leseni hapohapo na mmiliki anawekwa ndani kwa uhujumu uchumi, ukiwafanyia demo watu kadhaa tu hii tabia ingekoma.
Sasa wewe hapo umetumia akili gani kuwalaumu wenye filling stations?

Kwani hufahamu kwamba hata wao hawapati mafuta kutoka kwa hao wholesalers kwenye depots?

Wakulaumiwa ni wenye kuuza kwa jumla. Filling stations hakuna shida.

Kwenye suala la kusubiri bei zipande kwa hao retailers/filling stations, wala hawana kosa hapo maana ni biashara . Na pia ni mpango wa serikali kwenye suala la kutangaza bei mpya kila jumanne usiku.

Kwa hali iliyopo sasa hivi, wakulaumiwa ni wauzaji wa jumla pamoja na ewura. Maana wao ndo wenye uwezo wa kwenda kukagua hizo depot kuhakikisha kwamba mafuta ni kweli hayapo.

Ukiona kimya ujuwe kila mtu anakula kimya kimya kwa urefu wa kamba yake.
 
Poleni sana. Nimeshabuni mpango wa kuhakikisha bei za mafuta zina stabilize ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika.
Bado 'ninaufanyia majaribio upango huo' kinadharia.
Nategemea kuuwasilisha mwaka 2026...
 
Ebu toa dokezo
 
Niendee moja kwa moja kwenye mada husika!

Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta!

Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta!

Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi wowote!

Mkoa huu wa kishu'shu'shu na KI'CCM hali ni tete..! Mkoa umebaki mtupu hakuna mtetezi!

Nikumbushe kuwa jumatano ijayo ya mwanzo wa mwezi kwa fununu zilizopo EWURA wanatangaza bei mpya za mafuta, kitu ambacho kinatarajiwa, ni mafuta kupaa zaidi bei.

Nikumbushe pia mwezi mmoja uliopita ilitokea taharuki kama hii ya sasa, na kuonekana baadhi ya wafanyabiashara wakificha mafuta na baada ya wiki moja na nusu mafuta yakapaa kwa bei ambayo haijawahi kushuhudiwa kwa kizazi hiki cha miaka 30 iliyopita!

SHIDA YA MAJI
Maji pia yamekuwa shida, zaidi ya wiki sasa maji hayapatikani...!
Hali ni mbaya tumefika pabaya!!
Chadema hao ndo wamesababisha hayo
 
Bagamoyo hakuna mafuta pia p/ststion nyingi tu.
 
Ebu toa dokezo
The hardship of making economic polices is that you dont have a country (of your own) as a lab to test them.
So when u install such policies u need to be sure by 100% that they will work.
 
Ebu toa dokezo
That will be part one. Part two will deal on how to restabilize the Global supply of the 'Golden Currencies': (The Euro, The Dollar and The Pound).
If I happen to get some one to finance and help me get published, this may happen sooner...
 
Niendee moja kwa moja kwenye mada husika!

Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta!

Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta!

Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi wowote!

Mkoa huu wa kishu'shu'shu na KI'CCM hali ni tete..! Mkoa umebaki mtupu hakuna mtetezi!

Nikumbushe kuwa jumatano ijayo ya mwanzo wa mwezi kwa fununu zilizopo EWURA wanatangaza bei mpya za mafuta, kitu ambacho kinatarajiwa, ni mafuta kupaa zaidi bei.

Nikumbushe pia mwezi mmoja uliopita ilitokea taharuki kama hii ya sasa, na kuonekana baadhi ya wafanyabiashara wakificha mafuta na baada ya wiki moja na nusu mafuta yakapaa kwa bei ambayo haijawahi kushuhudiwa kwa kizazi hiki cha miaka 30 iliyopita!

SHIDA YA MAJI
Maji pia yamekuwa shida, zaidi ya wiki sasa maji hayapatikani...!
Hali ni mbaya tumefika pabaya!!
Ingieni barabarani muikomboe nchi yenu
 
Back
Top Bottom