92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Dah mleta mada sio Tabora tu leo imenibidi nifuate mafuta Moshi nipo wilaya ya Mwanga kwa matembezi na kuona ndugu ila nimejuta asee kwa hapa tambarare kuna petrol station 6 kubwa ila zinazofanyakazi ni mbili izungo na kisangara na zote zinalemewa mafuta yanaisha.
Hivi kwa mm niliepo hapa ni nyumbani sasa kwa mtu anaeendelea na safari na akapanga kuweka wese huku imekula kwake. Yaani mafuta nimefuata Moshi na dumu ukijichanganya gari linavutwa hakuna namna.
Hivi kwa mm niliepo hapa ni nyumbani sasa kwa mtu anaeendelea na safari na akapanga kuweka wese huku imekula kwake. Yaani mafuta nimefuata Moshi na dumu ukijichanganya gari linavutwa hakuna namna.