Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Kwa watu wenye akili za kijinga kama hizi acha nchi iendelee tu kuwa masikini yaani inasikitisha mno kwa mtu mwenye akili timamu kutetea hili
 
Acheni ujuaji jamani, mngejua kinachofanyika chini ya kapeti msingemtetea huyo mtu wa Lab. Mfamasia yuko sahihi vifaa vikiwa vimeExpire vinatumika hadi siku 90 yaani miezi 3 toka expire date na hakuna madhara wala shida yoyote kikubwa usahihi wa Vipimo. Anyway ukivuliwa nguo chutama maisha yaende.
 
Kwa hiyo expiry date huwa wanaandika kujiturahisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu 😂😂😂👋👋
 
Ushamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnachosha!
Unakuta hyo boss mwenyewe anamla hyo nesi

Bora alivyomrekodi ili siku nyingine awe na adabu.
 
Uyo wa kiume chokooooo sana
Kwahiyo na wewe unaona ni sawa wajawazito wapimwe na vipimo feki,,,sisi watanzania sijui tukoje ,,hilo ni tukio moja lililojulikana vipi ambayo hayajulikani ,,na watu wanagapi wameathirika na hivi vipimo feki,, Sometimes tuwe serious kama nchi...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…