Kwa watu wenye akili za kijinga kama hizi acha nchi iendelee tu kuwa masikini yaani inasikitisha mno kwa mtu mwenye akili timamu kutetea hiliMitanzania ni mijitu flani mijinga mijinga hivi.
Huyu kasaidia kuokoa maisha ya watu wasipimwe na kutibiwa bila vifaa sahihi lakini hapa tunamshambulia aliyerekodi utadhani kafanya kosa kubwa wakati katusaidia kuumbua ujinga unaoendelea huko kwenye hospital za umma.
Hatufiki kokote kwa akili hizi, watu duniani huko wapo serious hadi Rais msitaafu anashitakiwa na kufungwa jela