Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Mitanzania ni mijitu flani mijinga mijinga hivi.

Huyu kasaidia kuokoa maisha ya watu wasipimwe na kutibiwa bila vifaa sahihi lakini hapa tunamshambulia aliyerekodi utadhani kafanya kosa kubwa wakati katusaidia kuumbua ujinga unaoendelea huko kwenye hospital za umma.

Hatufiki kokote kwa akili hizi, watu duniani huko wapo serious hadi Rais msitaafu anashitakiwa na kufungwa jela
Kwa watu wenye akili za kijinga kama hizi acha nchi iendelee tu kuwa masikini yaani inasikitisha mno kwa mtu mwenye akili timamu kutetea hili
 
Madhara ya kufanya kazi vibaya,kwa mazoea na kiburi.Hizo dawa angekuwa ni mdogo wake asingempatia lkn watu baking dada yuko tayar wala hana shida.Hongera sana kwa aliyerekodi,huyu awajibishwe tu kwakwel maana watu wa dizaini hii ndio wanaosababisha vifo mahospital tena kwa makusudi
Acheni ujuaji jamani, mngejua kinachofanyika chini ya kapeti msingemtetea huyo mtu wa Lab. Mfamasia yuko sahihi vifaa vikiwa vimeExpire vinatumika hadi siku 90 yaani miezi 3 toka expire date na hakuna madhara wala shida yoyote kikubwa usahihi wa Vipimo. Anyway ukivuliwa nguo chutama maisha yaende.
 
Kwa hiyo expiry date huwa wanaandika kujiturahisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa kama prophylaxis.

Usitubabaishe na hiyo misamiati uchwara ya kizungu uliyokariri vyuo vya kata.

Ukibainika kufanya upuuzi kazini utashughulikiwa tu.

Tuna wataalamu wengi mtaani wasio na ajira. Utaondoshwa tu chap chap ukafanye uhuni kwa mmeo huko na maisha yataendelea.
Sawa mkuu 😂😂😂👋👋
 
Ushamba sana
Unarekodi ya nini?
Upost ili apatwe na nin?
Matatizo yenu wasilisha kwa boss
Mnachosha!
Unakuta hyo boss mwenyewe anamla hyo nesi

Bora alivyomrekodi ili siku nyingine awe na adabu.
 
Uyo wa kiume chokooooo sana
Kwahiyo na wewe unaona ni sawa wajawazito wapimwe na vipimo feki,,,sisi watanzania sijui tukoje ,,hilo ni tukio moja lililojulikana vipi ambayo hayajulikani ,,na watu wanagapi wameathirika na hivi vipimo feki,, Sometimes tuwe serious kama nchi...
 
Hiv na wenzetu ulaya ndo wako hivi? Mijitu inatetea hii issue.inaonesha ni aina gan ya watumishi tulioa
Kwahiyo na wewe unaona ni sawa wajawazito wapimwe na vipimo feki,,,sisi watanzania sijui tukoje ,,hilo ni tukio moja lililojulikana vipi ambayo hayajulikani ,,na watu wanagapi wameathirika na hivi vipimo feki,, Sometimes tuwe serious kama nchi...
angeenda kwenye mamlaka husika sio kurekod hapo hajatumia busara cos uyo dada uenda wamepishana kiswahili so jamaa katumia udhaifu wake
 
Back
Top Bottom