Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

We choko kama hujui manesi na madaktari hula kiapo cha kutibu wagonjwa pasipo kufata maslahi binafsi.. So huyo hajakosea hata kidogo na kama akikosa hiyo kazi bado kwa weledi wake atapata kazi nyingine..

Inawezekana huyo jamaa ndo tabia yake kuuza dawa zilizo expire kwa wagonjwa.. Na ukimuangalia kwa kauli zake inaonekana a elimu yake alisoma online huyo.. Au hakusoma kabisa
Utumishi wa umma una taratibu zake, ukigundua kuna makosa mfano vifaa vimekwisha muda wake basi unatoa taarifa sehemu sahihi (immediate supervisor), asipolifanyia kazi basi unapeleka ngazi ya juu zaidi.

Huo ndio utaratibu, kurekodi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii ni kosa, na haijalishi ulikuwa na lengo zuri au baya, kosa ni kosa tu. Na atachukuliwa hatua stahiki.

BTW hiyo lugha yako ya matusi inaonesha wewe ni mtoto mdogo uliyekalisha matako yako nyumbani kwa shemeji yako. Shika madaftari kasome mjinga wewe.
 
Kuna muda flan wa extension manufacturer hua ana toa
Ni assumption tu za wataalamu wa kibongo,kitu kikishaexpire kimeexpire tu na unakua kwenye hatari ukitumia. Na manufacturer hana liability tena after expiry date.
 
Wanajua sasa prophylaxis ni nini 😂😂😂unapoteza muda tu
Kichwa kama prophylaxis.

Usitubabaishe na hiyo misamiati uchwara ya kizungu uliyokariri vyuo vya kata.

Ukibainika kufanya upuuzi kazini utashughulikiwa tu.

Tuna wataalamu wengi mtaani wasio na ajira. Utaondoshwa tu chap chap ukafanye uhuni kwa mmeo huko na maisha yataendelea.
 
Utumishi wa umma una taratibu zake, ukigundua kuna makosa mfano vifaa vimekwisha muda wake basi unatoa taarifa sehemu sahihi (immediate supervisor), asipolifanyia kazi basi unapeleka ngazi ya juu zaidi.

Huo ndio utaratibu, kurekodi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii ni kosa, na haijalishi ulikuwa na lengo zuri au baya, kosa ni kosa tu. Na atachukuliwa hatua stahiki.

BTW hiyo lugha yako ya matusi inaonesha wewe ni mtoto mdogo uliyekalisha matako yako nyumbani kwa shemeji yako. Shika madaftari kasome mjinga wewe.
Kosa kwa mujibu wa sheria ipi? itaje.
 
Ni assumption tu za wataalamu wa kibongo,kitu kikishaexpire kimeexpire tu na unakua kwenye hatari ukitumia. Na manufacturer hana liability tena after expiry date.
Ni sawa. Ila sasa huyo mtu wa maabara kama sio uvivu kwanini asi tumie darubini kufanya BS?
 
Inshort,wote mnaomtetea huyo nurse na mnaomnanga huyo mtu wa maabara kwa kufichua uozo nawaombea siku mkiwa na changamoto ya afya mpate huduma ya nurse kama huyo.
Semeni Amen
Yes siku wakiumwa wapewe hizo dawa zilizo expire wanywe maana watu wanakuwaga na vichwa vigumu kweli.Sikutegemea kusikia kuna watu wanatetea kuhusu hili.Maendeleo kitaifa yaanzia kwenye fikra za watu sasa fikiria watu wenye mawazo hayo Tanzania tutaendelea kweli
 
Kurekodi uovu sio kosa. Ni namna ya kuchukua ushahidi kwa hatua zaidi za kinidhamu.

Pili, acha uzembe na uvivu kazini. Unaonekana lizembe tu wewe hata kazi huwezi.
Wewe ni snitch kazini lazima.,..huwezi tetea ujinga huo .
 
Hatufanyi siasa hapa
Ingawa ni makosa ila sio namna kama nyie layman mnavoona huyo atajieleza tu kwa barua
Atafukuzwa kwenye magazeti kuua soo
Alafu atahamishwa kituo
Huo uhuni wa kuhamishana vituo,unazidi kupungua,media zinazidi kuumbua watu wa hivyo,kwani zitamripoti kua yuko Tanga,au Arusha na hivyo kujulikana kua alihsmishwa.Teknolojia inszidi kuharibu mambo.
Anyway,tusimamie profesheni zetu,si vizuri kutumia vifaa ambavyo vime-expaya,wakati tunalipa kodi.
 
Huyu aliye mrekodi ambaye ni mtumishi mwenzie nadhani alikuwa anamkomoa maana ni.makusudi na huenda alinyimwa .....
 
Huyu aliye mrekodi ambaye ni mtumishi mwenzie nadhani alikuwa anamkomoa maana ni.makusudi na huenda alinyimwa .....
Safi tu muhimu kuokoa maisha ya watu.

Kama walinyimana mapenzi watajua wenyewe.
 
Aliemrekodi kafanya kosa la kimaadili.
Sitetei lugha yake Ila mpaka ana mrekodi Kuna mambo nyuma ya pazia,
Km ushahidi kulikua na zaidi ya mtu mmoja. Angekwenda kwa inchaji.
Lengo la kaka ni kumharibia huyo dada.
Km Mimi ndo nasimamia nidhami wote nawapa adhabu sawa yaani onyo Kali au pamoja na kuwahamisha wote wawili .
Inawezekana pia alimpandisha jazba ili amrekodi.
Pia Kuna utaratibu wa kutoa taarifa au malalamiko kwa. Maandishi na kwa mdomo.
Pia Kuna bodi za kitaalamu

Mitanzania ni mijitu flani mijinga mijinga hivi.

Huyu kasaidia kuokoa maisha ya watu wasipimwe na kutibiwa bila vifaa sahihi lakini hapa tunamshambulia aliyerekodi utadhani kafanya kosa kubwa wakati katusaidia kuumbua ujinga unaoendelea huko kwenye hospital za umma.

Hatufiki kokote kwa akili hizi, watu duniani huko wapo serious hadi Rais msitaafu anashitakiwa na kufungwa jela
 
Madhara ya kufanya kazi vibaya,kwa mazoea na kiburi.Hizo dawa angekuwa ni mdogo wake asingempatia lkn watu baking dada yuko tayar wala hana shida.Hongera sana kwa aliyerekodi,huyu awajibishwe tu kwakwel maana watu wa dizaini hii ndio wanaosababisha vifo mahospital tena kwa makusudi
 
Mnashangaza sana nyie mnaojiita wataalam afu mnatetea uthenge wa kutumia madude yaloexpire. Sijui mnalevel gani ya elimu aisee
Vyuo vya kata na ukihiyo.

Watu wanaoajiriwa kwa minajili ya kupokea mshahara. Working for food and survival.

Usitegemee ufanisi hapo. Wengi wao wameunga unga tu kwa D mbili wakajikuta wamekuwa manesi.

Hii sekta ihakikiwe.
 
Back
Top Bottom