Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Utumishi wa umma una taratibu zake, ukigundua kuna makosa mfano vifaa vimekwisha muda wake basi unatoa taarifa sehemu sahihi (immediate supervisor), asipolifanyia kazi basi unapeleka ngazi ya juu zaidi.We choko kama hujui manesi na madaktari hula kiapo cha kutibu wagonjwa pasipo kufata maslahi binafsi.. So huyo hajakosea hata kidogo na kama akikosa hiyo kazi bado kwa weledi wake atapata kazi nyingine..
Inawezekana huyo jamaa ndo tabia yake kuuza dawa zilizo expire kwa wagonjwa.. Na ukimuangalia kwa kauli zake inaonekana a elimu yake alisoma online huyo.. Au hakusoma kabisa
Huo ndio utaratibu, kurekodi na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii ni kosa, na haijalishi ulikuwa na lengo zuri au baya, kosa ni kosa tu. Na atachukuliwa hatua stahiki.
BTW hiyo lugha yako ya matusi inaonesha wewe ni mtoto mdogo uliyekalisha matako yako nyumbani kwa shemeji yako. Shika madaftari kasome mjinga wewe.