Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

M

mimi hata sipo huko kwenye afya😂😂elimu yangu yenyew form 4 sema nimekaa sana huko kwenye kota coz kuna babu yangu alistaafia kwenye mambo ya afya so nilikua najua mambo yote yanavoenda😁so pole kwa kufikilia tofaut pole sana

Kwenye comment yako ya awali, ulimsimanga uliyemquote kuwa haelewi kitu kwakua hayuko kwenye kada hiyo ya afya kama wewe, kumbe ulimaanisha kukaa kwa babu yako?

Sasa huko kwa babu yako ndo ulijifunza kuwa vifaa vya kufanyia vipimo hospitalini vikiisha muda wa kutumika, bado vinastahili kutumika?
 
😂😂😂😃😃me sipo kwenye afya kaka labda baba ako na mama ako ndo watakua hopeless kwasabab walikua wanatombn vichachakan alaf kondom ikapasuka ndo wakakupata wew chiz shoga

Unapokuwa fukara wa vitu na fedha, basi jitahidi uwe angalau na akili.

Kwa hizi akili ulizoonyesha hapa kwenye hii comment, sihitaji kingine kujua kuwa wewe ni mtoto usiyejua maisha.

Endelea kukaa kwa babu yako, kula ugali bure, na utafute bando la kuja kuandika upuuzi wako huku.
 
Pole sana kwasabab hujui nachofanya na hutojua mtoto wa malaya ww😂😂😂
 
Unapokuwa fukara wa vitu na fedha, basi jitahidi uwe angalau na akili.

aKwa hizi akili ulizoonyesha hapa kwenye hii comment, sihitaji kingine kujua kuwa wewe ni mtoto usiyejua maisha.

Endelea kukaa kwa babu yako, kula ugali bure, na utafute bando la kuja kuandika upuuzi wako huku.
😂😂😂kwan unateseka ukiwa mkoa gan ???karibu mkoan kwetu tulambe asali
 
Unapokuwa fukara wa vitu na fedha, basi jitahidi uwe angalau na akili.

Kwa hizi akili ulizoonyesha hapa kwenye hii comment, sihitaji kingine kujua kuwa wewe ni mtoto usiyejua maisha.

Endelea kukaa kwa babu yako, kula ugali bure, na utafute bando la kuja kuandika upuuzi wako huku.
Yan kuna vitu ving huvijui ila siku ukijua kndo utajua kwamba ulikua hujui ila ukwel ni kwamba we endelea kutoa jasho kusaka hizo sijui unaziita pesa ila kuna watu wanazipata huku wamelala ni mwendo wa kulamba asali #TUKUTANE PEPONI
 
Wanazipata wamelala sio? Tangu lini hela zimeanza kuwa nyepesi hivyo?

Ndiomaana nilikuita mtoto, ulipanick ila nilikueleza ukweli. Hakuna hela inayopatikana kwa kulala, watu wanawekeza nguvu, maarifa na nidhamu ili kuzipata, hasa kwa watoto wa kiume kama sisi.

Unless uwe unamaanisha kuwa pesa unazopata ukiwa umelala ni za kuhongwa na wanaozitafuta.

USIKU MWEMA.
 
Hujui ndo maana unasema pesa gan zinapatikana kwa kulala ukijua utajua endelea kumwaga jasho mkuu karibu sisi tunalamba hizo hizo pesa zenu mlizowekeza maarifa,nidhan cjui nin sisi tunaenda against nyie #KARIBU TULAMBE ASALI # TUKUTANE PEPONI. #MAENDELEO HAYANA CHAMA
 
Unazungumzia nidham na nguvu Tanzania hii?😂😂maarifa ntakukubalia ila sio nguvu na nidham labd kama haupo Tanzania
 
Wanazipata wamelala sio? Tangu lini hela zimeanza kuwa nyepesi hivyo?

Ndiomaana nilikuita mtoto, ulipanick ila nilikueleza ukweli. Hakuna hela inayopatikana kwa kulala, watu wanawekeza nguvu, maarifa na nidhamu ili kuzipata, hasa kwa watoto wa kiume kama sisi.

Unless uwe unamaanisha kuwa pesa unazopata ukiwa umelala ni za kuhongwa na wanaozitafuta.

USIKU MWEMA.
Ukitumia nguvu utaumia kakaa utazeeka haraka😂😂4 hours of work per day is enough kwa mtu mjanja hatutumii nguvu sisi huku kwetu na hii january ndo mwez wetu wa kukusanya asali af tunailamba kuanzia february mpaka december tunaanzia dsm af tunamalizia moshi december kwa babu kuchinja ng’ombe wa kafara na mbuzi tukishushia na mbege
 
Wanazipata wamelala sio? Tangu lini hela zimeanza kuwa nyepesi hivyo?

Ndiomaana nilikuita mtoto, ulipanick ila nilikueleza ukweli. Hakuna hela inayopatikana kwa kulala, watu wanawekeza nguvu, maarifa na nidhamu ili kuzipata, hasa kwa watoto wa kiume kama sisi.

Unless uwe unamaanisha kuwa pesa unazopata ukiwa umelala ni za kuhongwa na wanaozitafuta.

USIKU MWEMA.
Emoji nyingi, kila sehemu unachekacheka hovyo.

Haya endelea kula asali huko kwa yabu yako, leo sina muda wa kujibizana na fukara.
Nikicheka nashiba😂
 
Yaani naona Mimi nimemuelewa nesi wa kike tofauti na wewe samàhani. Nionavyo kinachobishaniwa ni vifaa vilivyoisha Muda wake vitumike au visitumike? Maana Hakuna mbadala. Dada anashauri vilivyopo vitumike maana Hakuna namna, mwenzie anasema Mimi siwezi kutumia vilivyoisha Muda wake. Dada anauliza wewe ndo unajiona unajua zaidi ya walio juu? Maana ya swali hili ni kwamba kutokuwepo Kwa vifaa vipya kunajulikana na wakuu wao. Kwangu tatizo là binti ni lugha isiyo ya kistaarabu Kwa mwenzie, lakini aliyerekodi na kurusha mitandaoni sijui ana lengo gani? Nadhani aliona anamkomoa Huyo binti lakini sioni ukubwa wa kosa lake maana yeye ameombwa ushauri na kashauri tutumie kilichopo.
Naungana mkono hoja yako japo sijashangaa jibu la mdada yule kwa jamaa inategemea wana mazoea ya namna gani ingekuwa ni jibu geni au lugha ngeni kwa jamaa lazima angemaind
 
Hujui ndo maana unasema pesa gan zinapatikana kwa kulala ukijua utajua endelea kumwaga jasho mkuu karibu sisi tunalamba hizo hizo pesa zenu mlizowekeza maarifa,nidhan cjui nin sisi tunaenda against nyie #KARIBU TULAMBE ASALI # TUKUTANE PEPONI. #MAENDELEO HAYANA CHAMA

Wewe ni psycho, kwahiyo nitakupuuza kuanzia sasa.
 
M
Wanazipata wamelala sio? Tangu lini hela zimeanza kuwa nyepesi hivyo?

Ndiomaana nilikuita mtoto, ulipanick ila nilikueleza ukweli. Hakuna hela inayopatikana kwa kulala, watu wanawekeza nguvu, maarifa na nidhamu ili kuzipata, hasa kwa watoto wa kiume kama sisi.

Unless uwe unamaanisha kuwa pesa unazopata ukiwa umelala ni za kuhongwa na wanaozitafuta.

USIKU MWEMA.
Wewe ni psycho, kwahiyo nitakupuuza kuanzia sasa.
POA tafuta pesa kaka
 
Nurse alikuwa sawa...anatekeleza maagizo ya boss wake, huyo jamaa ndio hajui masharti ya utumishi wa umma, hata hiyo t - shirt ya TUGHE aliyovaa wala hafanani nayo, unatoaje siri za mwajiri tena una record kabisa.
 
Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara.

Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri.

Mamlaka ziangalie jambo hili
View attachment 2470582
Muhudumu inaonekana ni mkorofi kwa majibu yake ya hovyo inaonekana hata kwa wagonjwa anaweza kujibu majibu ya hovyo, na mtaalam wa maabara na yeye pia ana makosa yeye angeipeleka video yake kwa wakuu wa kazi sio kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii, matokeo yake wote watakuwa ni wakosaji
 
Wajawazito ukawape dawa zilizo expire, vidada vikipataga network na ramani ya kupata pesa vinaona wadada wenzao kama mbwa vilee hata hafikirii kama nae atakuja kupata ujauzito au mgumba huyoo, anaboa vilee anaongea kwa kujiamini/ sheria ya kunyongwa iwekwe kwa watu kama hao
 
Muhudumu inaonekana ni mkorofi kwa majibu yake ya hovyo inaonekana hata kwa wagonjwa anaweza kujibu majibu ya hovyo, na mtaalam wa maabara na yeye pia ana makosa yeye angeipeleka video yake kwa wakuu wa kazi sio kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii, matokeo yake wote watakuwa ni wakosaji

Mkuu acha tu aipost watu waione, wakome,wanajibu vibaya sana wagonjwa hao wauguzi haujui tu, juzi tu nilikuwa mnazi mmoja hapo na mjamzito yaani walivyokuwa wanamjibu daah unaweza kuhama hospital daaah wana kauli chafu sana kana kwamba hawajui izo kazi kama ni za kujitolea kabla haujaangalia malipo ya pesa, waende hata wakahudumie magest huko. Wanaudhi
 
Back
Top Bottom