Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
M
mimi hata sipo huko kwenye afya😂😂elimu yangu yenyew form 4 sema nimekaa sana huko kwenye kota coz kuna babu yangu alistaafia kwenye mambo ya afya so nilikua najua mambo yote yanavoenda😁so pole kwa kufikilia tofaut pole sana
Kwenye comment yako ya awali, ulimsimanga uliyemquote kuwa haelewi kitu kwakua hayuko kwenye kada hiyo ya afya kama wewe, kumbe ulimaanisha kukaa kwa babu yako?
Sasa huko kwa babu yako ndo ulijifunza kuwa vifaa vya kufanyia vipimo hospitalini vikiisha muda wa kutumika, bado vinastahili kutumika?