Tabora: Mwanajeshi mstaafu na Mke wa Mtu wakutwa wamefariki Chumbani

Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669
Kifo cha Aibu!!
 
Kuna mawili. Kuuliwa wote wawili na mtu kutoka nje au mmoja kumuua mwingine na kujimaliza.
Inavyosemekana ni uchawi, mwenye mke alienda kuuliza kwenye hiyo nyumba jamani mke wangu yuko hapa akaambiwa hayupo basi akamua kuondoka(mwenye mke alikuwa keshashtukia mchezo kwanza mjeshi anamgongea)
 
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja baada ya mwanamke huyo kuondoka nyumbani kwa mume wake tangu Novemba 4, mwaka huu bila kuaga na kushindwa kurejea.
View attachment 3170669
Rip mstaafu...
 
Back
Top Bottom