Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

Koboko (Black Mamba) akugonge mara 4 halaf utoke unakimbia 🙄
Huyo sio koboko aisee. Black mamba akikugonga chances of survival ni ndogo sana especially Kama kweli amemng'ata zaidi ya mara nne. Hiyo sumu hakuna dawa inawwza kuneutralize

Sumu yake inaingia kwenye nerves haraka na kukusababishia heart failure dakika kadhaa tu.

Huyo kapambana na aina nyingine ya nyoka although Tabora black mamba wapo sana.
 
Haya sasa hebu niambie Black Mamba kwa kiswahili anaitwaje? Au Koboko kwa Kiingereza anaitwaje? Kujifanya kujua kila kitu..
 
Haya sasa hebu niambie Black Mamba kwa kiswahili anaitwaje? Au Koboko kwa Kiingereza anaitwaje? Kujifanya kujua kila kitu..
Tatizo unajifanya mjuaji, black mamba ndio koboko, otherwise usibishane na mimi consult your authorities
 
Wabongo mbwana yaani Kila kitu kikifanywa kwa kilocal ni ushirikina mbona mnakuwa wajingajinga Sana. Hio technique ipo miaka mingi iliyo pita nyie mnafikiri Babu zenu wa tabora waliishije miaka hiyo. Mm nimepiga story na elder wakaniambia kuwa walitumia uji wa Moto au maharage ya Moto yaliyowekwa kwenye chungu na walivya vyungu walipo kuwa wakichunga mifugo kwa kua huyo jamaa animihasira ya kijinga kwa hiyo hata ukipata na uji yeye ana kudinya Sasa akidinya sawa sawa anatumbukia mzimamzima. Hafu Kuna mijinga hapo juu Inasema ni ushirikina kwa kuwa mpiga tukio ni mganga wakienyiji hapana ametokea mganga kwa kuwa ndio watu pekee walibaki na haya maarifa mazuri ni wao pekee labda na mabibi na mababu. Ila the least ya wamehalibiwa akili zao na Western world

Sio Kila maarifa ya mwaafrika ni yakishenzi mengine niyakuenzi
 
Back
Top Bottom