Tripper
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 778
- 1,522
Mkuu hebu nambie, hivi hii series ni Kali sana? ili nidownload niangalie.
View attachment 2060935
Hawa ndo kiboko ya nyoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2060935
Hawa ndo kiboko ya nyoka
Ila baada ya kuzinduka alitimua mbio na kuacha vifaa vyake vyote vya kazi[emoji23]Mganga hadi leo hajafa, na jumamosi tarehe 1.1.2022 anaoa kigori wa Kinyamwezi kutoka Mboka Manyema
Huyo sio koboko aisee. Black mamba akikugonga chances of survival ni ndogo sana especially Kama kweli amemng'ata zaidi ya mara nne. Hiyo sumu hakuna dawa inawwza kuneutralizeKoboko (Black Mamba) akugonge mara 4 halaf utoke unakimbia 🙄
Kamgonga na kichwa sio na mdomoKoboko (Black Mamba) akugonge mara 4 halaf utoke unakimbia [emoji849]
Haya sasa hebu niambie Black Mamba kwa kiswahili anaitwaje? Au Koboko kwa Kiingereza anaitwaje? Kujifanya kujua kila kitu..Huyo sio koboko aisee. Black mamba akikugonga chances of survival ni ndogo sana especially Kama kweli amemng'ata zaidi ya mara nne. Hiyo sumu hakuna dawa inawwza kuneutralize
Sumu yake inaingia kwenye nerves haraka na kukusababishia heart failure dakika kadhaa tu.
Huyo kapambana na aina nyingine ya nyoka although Tabora black mamba wapo sana.
Tatizo unajifanya mjuaji, black mamba ndio koboko, otherwise usibishane na mimi consult your authoritiesHaya sasa hebu niambie Black Mamba kwa kiswahili anaitwaje? Au Koboko kwa Kiingereza anaitwaje? Kujifanya kujua kila kitu..
Wanafanya masikhara na huyu nyoka, watahama mtaa mzima [emoji3]Nitaamini kama ni koboko nikipewa taarifa za huyo mganga huko alipo,sitegemei kusikia yupo hai maana mziki wa huyo bwana ni weka mbali na watoto.
Sasa nimesema nini ukakataa,na wewe unataka kunielewesha Nini? Kuwa makini dogoTatizo unajifanya mjuaji, black mamba ndio koboko, otherwise usibishane na mimi consult your authorities
Nilisema nini hapa..na wewe unakremu nini@BondpostKoboko (Black Mamba) akugonge mara 4 halaf utoke unakimbia 🙄
Kuna uzi fulani kuhusu koboko wa muda kidogo, ule uzi wadau walifunguka sana ukiusoma unaweza usipite kwenye misitu au mazoea na nyoka kabisa aiseeMkuu tafadhali sana tunaomba darasa la kuwafahamu nyoka unaonekana ni mtaalam wa mambo ya nyoka.
inawezekana uji ulimdhuru mdomo kwahiyo mganga kagongwa na mdomo uliojeruhiwaKagongwa Mara 4 na apone?!!!, labda huyo alikuwa ni Venom less black mamba. 😏
Sio series bali ni tv show, hao huwa wanaitwa kukamata nyoka wanaokuwepo katika makazi ya watu kisha wanawarudisha poriniMkuu hebu nambie, hivi hii series ni Kali sana? ili nidownload niangalie.
Nashukuru Mkuu ngoja niutafuteKuna uzi fulani kuhusu koboko wa muda kidogo, ule uzi wadau walifunguka sana ukiusoma unaweza usipite kwenye misitu au mazoea na nyoka kabisa aisee
Una akili sana.. Hahaha..Hii nchi ni ngumu.