Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Tatizo letuni malalamiko siku zote, siku ya uchaguzi mnalala mpaka saa saba mchana na mkiamka mnaanza kufungulia runinga na kuangalia kama kuna waliofanya vurugu!.Ila wamekosea kufunga baadhi ya shule leo sababu ya ziara. Raisi anapaswa kuongea na wananchi sio wanafunzi ambao hawajui chochote
Huwa hamuitumii fursa ya kuleta mabadiliko zaidi ya kulalamikia jamii forum, kitu ambacho hakiwezi kuwasaidia.