Tatizo letuni malalamiko siku zote, siku ya uchaguzi mnalala mpaka saa saba mchana na mkiamka mnaanza kufungulia runinga na kuangalia kama kuna waliofanya vurugu!.
Huwa hamuitumii fursa ya kuleta mabadiliko zaidi ya kulalamikia jamii forum, kitu ambacho hakiwezi kuwasaidia.