Tuachane na ujinga huu wa kumshukuru na kumsifia rais pale anapotekeleza majukumu yake ya kawaida. Kwani rais anatoa hizi fedha mfukoni mwake? Hizi ni fedha za Kodi zetu.Tunashukuru sana
Hizo hela zimetoka mfuko upi? Zilikuwa budgeted au ni utashi wa raisi?- Atoa mitaji kwa wajasiriamali na Wafanyabiashara wa soko hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la kisasa la Nzega Parking mkoani Tabora Ili kuwezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwenye mazingira bora.
Rais Dkt, Samia ametoa fedha hizo alipotembelea soko hilo kufuatia ombi la Mbunge wa Nzega na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kumuomba kutembelea soko Hilo.
Aidha Rais Samia amewataka Wafanyabiashara hao kupisha ujenzi na kuwaelekeza Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi kuhakikisha soko likikamilika wafanyabiashara waliopisha ujenzi ndio wapewe kipaumbele.View attachment 2785636View attachment 2785637View attachment 2785639
Hii ni kwa sababu upeo wetu waananchi wa kupembua mambo ni finyu. Inatakiwa tujiulize, kuna maeneo mangapi Tanzania yanahitaji fedha kwa mahitaji mbalimbali? Rais ataweza kupitia kila sehemu na atoe fedha kwenye kila hitaji? Hizo fedha ni zake au amezitoa wapi? Yeye na wenzake wanatumia kiasi gani? Hizi ni siasa za made in Africa only na ndiyo maana hatuendelei.Hizo hela zimetoka mfuko upi? Zilikuwa budgeted au ni utashi wa raisi?
Hivi hizi hela zake !.- Atoa mitaji kwa wajasiriamali na Wafanyabiashara wa soko hilo.