Tabora United haifungiki na timu yoyote ya NBC PL. Kwa mwendo huu itachukuwa kombe

Tabora United haifungiki na timu yoyote ya NBC PL. Kwa mwendo huu itachukuwa kombe

Ndo kwanzaaa mzunguko wa kwanzaa mshaanza kuwajaza vichwa...
 
Labda kitakachowakwamisha ni fitna,asikwambie ntu mpira wa bongo una fitna mbaya sana hasa kwa hawa mapacha wa Kariakoo.
 
Back
Top Bottom