DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
hakuna siri, kwa mtazamo wangu, katika mawaziri failures wa mama Samia huyu Dkt. Gwajima D anaongoza.

Taifa limeporomoka kabisa kimaadili mpaka naamini kuwa yeye ndiye muhusika mkuu wa maadili kuporomoka kwa kushindwa kwake kudhibiti kwa njia za kisasa.

Nilicheka peke yangu, aliponambia humu JF kuwa anatumia mbinu za enzi za mMkapa kupambana na matatizo ya sasa.

Nilimponda hapohapo, kwani hata nilipojaribu kumshauri alikuwa hanielewi kabisa. Nikaelewa kuwa huyu mwanamke hana ubunifu kabisa.

Tunajionea maadili ya jamii yanavyozidi kuporomoka kila kukicha.
 
Watoto kama hao kama ni dull darasani wapelekwe veta Nina imani watatoka vizuri jaribu kufanya research vijana ambao hawakuwa wazuri darasani Ata kinidhamu kweny maisha au mtaani kuna angle wanakuwaga na ustadi mkubwa
Naafikia na wewe hata mimi nimeligundua hilo. unakuta kijana shule alikua kilaza hesabu za la 4 anazikimbia
unakuja kumkuta kwenye maisha ni fundi mzuri mbao za kupaua anazipangilia na kupiga makadirio mulemule kuliko mhandisi aliyemaliza leo chuo. nabaki kushangaa
 
Wakipata mimba WARUDI SHULE!
 


We tatizo lako ujuaji unakuponza Sana

Unajua kishambulia tu Ila kujenga hauwezi
 
Kuwafukuza wameasaidia nini?
Mnarudisha wenye mimba, mnafukuza waliorekodi viungo ni ujinga wa hali ya juu.

Hivyo uchi ndio uharibu maizha ya mtoto?

Walitakiwa kuadhibiwa, kurekebishwa na kuonywa
Dkt. Gwajima D
Hii haiko sawa
 
Hebu hizo video kwanza tuzione
 
We samia hebu acha Nongwa.

Waziri umteue mwenyewe halafu uanze kumbagaza!

Tabia mbaya tu, unawafundisha nini wajukuu zako!

Halafu unataka Gwajima ndio awe mlezi wa maadili ya Tanganyika?

Watoto wakibomolewa vinyeo magetoni basi Gwajima ndio awajibike? Hata marekani watoto wanabomolewa.

Cha msingi ni kutunga sheria za kulinda watoto na kuzisimamia na kuwawajibisha wanaozivunja!! Nje ya hapo ni kumuonea tu Gwajima.

Halafu we bibi jiheshimu, sawa?

Cc: Kalpana Kapeace Mbaga Jr Poor Brain Extrovert binti kiziwi Bantu Lady
 
Mimi nashauri bangi iruhusiwe tu, hizi bangi za kujificha ndiyo zinawafanya muwe na wazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…