DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Adhabu ni kali
Mtoto akiinywa harudii tena
Lazima adhabu iwe kali, ili kwamba tukio hilo lisijirudie hapo shuleni na shule nyinginezo. Hao watoto wapo chini ya uangalizi ya shule wawapo shuleni na wazazi wakiwa nyumbani.

Na kingine, wababa waambieni binti zenu mnawapenda kuepuka mambo ya aibu kama haya wanaanza uhuni bado wadogo tena wakiwa chini ya paa lako mwenyewe
 
Mtoto laZima afanye makosa
Kwani akiwa mwanao akajirekodi utamfukuza kwako?

Sio sawa, hawa watoto wapewe adhabu lakini kumfukuza shule ni kumnyima haki ambayo kila mtoto anapaswa kupata. Haki ya elimu
 
We samia hebu acha Nongwa.

Waziri umteue mwenyewe halafu uanze kumbagaza!

Tabia mbaya tu, unawafundisha nini wajukuu zako!

Halafu unataka Gwajima ndio awe mlezi wa maadili ya Tanganyika?

Watoto wakibomolewa vinyeo magetoni basi Gwajima ndio awajibike? Hata marekani watoto wanabomolewa.

Cha msingi ni kutunga sheria za kulinda watoto na kuzisimamia na kuwawajibisha wanaozivunja!! Nje ya hapo ni kumuonea tu Gwajima.

Halafu we bibi jiheshimu, sawa?

Cc: Kalpana Kapeace Mbaga Jr Poor Brain Extrovert binti kiziwi Bantu Lady
Kabisa huyu mama ana chuki zake binafsi kwa waziri
 
Mtoto laZima afanye makosa
Kwani akiwa mwanao akajirekodi utamfukuza kwako?

Sio sawa, hawa watoto wapewe adhabu lakini kumfukuza shule ni kumnyima haki ambayo kila mtoto anapaswa kupata. Haki ya elimu
Atapata elimu sehemu nyingine. Sijui kwanini unatetea, ingekuwa wameshinikzwa labda kwa kutekwa au kuingiliwa kinguvu ingekuwa kitu kingine. Hii ya kujirekodi utupu na kutuma mataifa yaone sio sawa. Binti wa secondari ana umri wa 13-17 ni mdogo sana, ila hawana hata aibu? Inaonesha wamezoea kufanya uchafu. Huwezi kuniambia walikuwa hawajui kuwa ni kosa kubwa kwa mwili wake na ni kutia aibu wazazi wao. Ni kama kuwatukana wangali bado hai
 
Back
Top Bottom