Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kwenye mtandao gani mkuu?Niliziona zile video yaani..... watoto wanajua utadhani ndiyo masomo waliokua wamebobea...🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye mtandao gani mkuu?Niliziona zile video yaani..... watoto wanajua utadhani ndiyo masomo waliokua wamebobea...🙄
Jadda et el mabinti wanaonewa,mfumo dime haufai,kila mtu na chaguo lakeNgoja watetezi waje kupingana na waziri
Suala la kuwa na viongozi incompentence nafikiri ni la muundo mzima wa kiungozi nchini. Embu tuachane na huyu waziri, je ni eneo lipi kama nchi tumeweza kulimudu efficiently kiasi kwamba dunia inaweza kujifunza kutoka kwetu?Bora u eiona hilo. Zamani sana nimesemq hapa JF, uyu nafaa kuwa waziri wa zimamoto.
Tazama alivyosema, eti maadili "kwenye madawati"?
Kwa ufupi hana ubunifu kabisa, anachokijuwa yeye ni kuwahi kuzima moto tu ukishawaka. hajuwi kuzuwia moto usiwake.
Hili unakuta pia mzazi wala hajui lolote au anajuaWakuu habari zenu!
Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.
Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
WajeNgoja watetezi waje kupingana na waziri
Hivi ni kumbe ile connection ni ya bongo. Me nilifikiriaga ni Kenya uko.Asee ukisema utupu nakumbuka mwamba moja sijui wa udom alivuma saana kwa mauno aliyompigisha mpnz wake afu mzigo ulikuwa kama 1hr
Bro ile ni bongo land mzeeHivi ni kumbe ile connection ni ya bongo. Me nilifikiriaga ni Kenya uko.
😁😁😁Najuwa kweli hujakosea.
Kwani kujuwa ni dhambi?
Mwambiue dadako wa Kihaya aliyeshindwa kuijenga Kigamboni akabambwa na pesa za kuhongwa. Analialia mpaka leo, kama vile kaonewa.
Vyuo vinafundisha nadharia sana, inabidi miaka ya kukaa darasani chuoni ipunguzwe wanafunzi watumie muda mwingi zaidi wakiwa field. Vyuo vibaki kuwa sehemu ya kufanya tafiti tu.Naafikia na wewe hata mimi nimeligundua hilo. unakuta kijana shule alikua kilaza hesabu za la 4 anazikimbia
unakuja kumkuta kwenye maisha ni fundi mzuri mbao za kupaua anazipangilia na kupiga makadirio mulemule kuliko mhandisi aliyemaliza leo chuo. nabaki kushangaa
Iko sawa kabisa kwa kuwa wameondolewa shuleni hapo wasiharibu wengine na kupelekwa program ya marekebisho ya tabia kwanza kwa kuwa wako chini ya miaka 18 kwa mujibu wa sheria ya mtoto ambayo wengi hamuisomi na Iko humu online.Kuwafukuza wameasaidia nini?
Mnarudisha wenye mimba, mnafukuza waliorekodi viungo ni ujinga wa hali ya juu.
Hivyo uchi ndio uharibu maizha ya mtoto?
Walitakiwa kuadhibiwa, kurekebishwa na kuonywa
Dkt. Gwajima D
Hii haiko sawa
Sio watoto "washule" mkuu, ni wanafunzi. Mbona tittle iko poa!?, unachokuwa kama unaoga nje ni nini?Wakuu habari zenu!
Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.
Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.
Soma, Pia:
+ Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Mkuu pole na majukumu na hongera Kwa Kazi nzuri unayofanyaWaje
Nilikuwa vijijini ndiyo naibuka mitandaoni. Kwanza ahsanteni sana kwa mjadala moto moto.JAPO SIJAONA HIZO PICHA NA SITAKI KUZIONA.
Naungana na wachangiaji waliopinga ADHABU KUBWA waliyopewa ya kufukuzwa shule.
wangesimamishwa shule kwa muda suspension na kupewa adhabu nyingine.
Pia ikiwezekana wangehamishwa shule wapelekwe shule maalumu za watoto watukutu kama zipo nchini kama hazipo ni vizuri zikawepo ili ziwe maalumu kwa mafunzo hasa ya watoto watundu.
Haki ya kupata elimu katika karne hii ni muhimu ,kumnyima mtoto haki ya kupata elimu ni kumnyima fursa sababu ,foolish age ikiisha ,kipindi cha mpito cha ukuaji cha watoto huwa wanakuwa watundu na kupenda kujaribu kila kitu.ILA WANAWEZA KUPATA NEEMA YA KUBADILIKA NA KUWA RAIA WEMA
Na wakipata support ya kisaikolojia itawasaidia wabadiilike ,na hata sasa wameshajutia kosa lao pengine.
Pia walikuwa wanahitaji msaada wa matibabu ya kliniki ya kisaikolijia kutoka kwa wataalamu wa afya ya saikolojia na msaada wa huduma za kiroho.Kuwafukuza shule ni kuwaongezea stress na hakuwasaidii watoto wenyewe.
Unakuta n Mtoto wa Aunt yako😁Hawana adabu hawa wototo
Ebu tuone hizo picha zao kama unazo
Nimwambie binti yangu nampenda.! Haya mambo sio pigo zetu wanaume wa kiafrika, upendo wa baba utauona tu kupitia sacrifice zake kwa familia. Wakina mama mnashinda sana na watoto ndio mnatakiwa kuwa-monitor na kupeleka taarifa kwa baba mkiziona dosariLazima adhabu iwe kali, ili kwamba tukio hilo lisijirudie hapo shuleni na shule nyinginezo. Hao watoto wapo chini ya uangalizi ya shule wawapo shuleni na wazazi wakiwa nyumbani.
Na kingine, wababa waambieni binti zenu mnawapenda kuepuka mambo ya aibu kama haya wanaanza uhuni bado wadogo tena wakiwa chini ya paa lako mwenyewe
No hapo sasa, halafu familia na wazazi na Walezi hawana mikakati ngazi ya familia na miongozo ya malezi na makuzi tumezindua tukasambaza na tukafundisha vipindi redioni vya kutosha na bado program za malezi na makuzi ziko huko kwenye jamii. Je wanasikia sasa? Iwapo kupiga tu watoto wanasema wapigwe tu kisa nasi enzi zetu tulipigwa....Hao watoto wafukuzwe mara Moja, ndio hao wanaofanya BIASHARA NGONO kupitia makundi ya Wasap, Telegram , wakisemaa, natoa huduma za
video call .
Picha za kumayangu .
Kufirana.....
Kutombana kama Bata...
Massage...
Wafukuzwe , wasiwaambukize wenzio Michezo mchafu .
Wajinga hao wachache ndo wanaeneza Usagaji na umalaya.