The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Uzi bila video wala hizo picha ni Uzi batili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwafukuza wamwasaidia nini?
Hivyo uchi ndio uharibu maizha ya mtoto?
Walitakiwa kuadhibiwa, kurekebishwa na kuonywa
Hapana mama, huwa ninakuunga mkono na nitaendelea kukuunga mkono lakini katika hili tuweke mihemko pembeni tujadili uhalisia;Iko sawa kabisa kwa kuwa wameondolewa shuleni hapo wasiharibu wengine na kupelekwa program ya marekebisho ya tabia kwanza kwa kuwa wako chini ya miaka 18 kwa mujibu wa sheria ya mtoto ambayo wengi hamuisomi na Iko humu online.
Lawama laumuni tu kwa kuwa ndiyo uhuru wa maoni ila sisi hufanya haya mambo kitaalamu kabisa. Ahsante Sana ubarikiwe
Tatizo watawafundisha na wengine. Mimi nafikiri maamuzi bora zaidi ni kuwapa onyo na kuwaamisha shule.Hao ni madogo wakae nao chini wawa rekebishe
Hao wameonwa kuna wengine hapo hapo wanafanya makubwa watafukuza wangapi
Hongera sana muheshimiwa pongezi kwa kazi nzuri ya kusaidia ustawi wa hao watoto na jamii.Nilikuwa vijijini ndiyo naibuka mitandaoni. Kwanza ahsanteni sana kwa mjadala moto moto.
Pili, wengi wenu huwa mnapenda kutafuta angle hasi Ili mumpige mtu aonekana kafanya vitu vibaya Sana hajawahi kutokea tangu ulimwengu uumbwe. Pia stori imegeuzwa makusudi tu wala haiko hivyo. Lengo sijui.
Kifupi nimeenda ziara hapo na nimekuta walishafukuzwa na mamlaka ya mkoa zamani tu na ilikuwa ni taarifa ya Mkuu wa Mkoa kuhusu hatua alizochukua pale. Hapo alichangia mimi nilipokuwa nahimiza kuwa, shule zote nchini ziwe na madawati ya ulinzi wa watoto kama tulivyozindua miongozo ya kisera mwaka juzi. Sasa mbona vimegeuzwa? 🤣
Tatu; watoto hao wameondolewa kwenda marekebisho ya tabia kwanza kisha waje waende shule zingine kwani, katika haki za watoto ni pamoja na elimu na hata ikiwa watoto wako mahabusu wanaendelea na elimu.
Wakati mkiendelea sasa kujadili na kulaumu, rekebisheni kwanza taarifa wapendwa sana.
Nawapenda Sana mbarikiwe wote 🤝
Story yenyewe inayojadiliwa imepotoshwa. Walishaondolewa shuleni kitambo Mimi nilikuwa napewa taarifa tu, na wameenda program ya malezi na makuzi huko Ustawi wa Jamii Ili tabia zikae sawa waweze kuendelea na masomo eneo lingine. Au walitaka wafundishe shule yote? Na kama wengine wapi huko watajwe Ili waende kwenye program hizo. Halafu jamii isome Sheria ya mtoto kama wanavyosoma mambo mengine yote online maana ipo humu.Wakizaa hawafukuzwi.
Simu zilifikaje shule?
Wawape suspension.
Sasa hivi kila kitu kipo kiganjaniTatizo watawafundisha na wengine. Mimi nafikiri maamuzi bora zaidi ni kuwapa onyo na kuwaamisha shule.
Sasa Mhe. kama nchi kuna mkakati gani wa kukabiliana na mmong'onyoko wa maadili na athari hasi za utandawazi?Nilikuwa vijijini ndiyo naibuka mitandaoni. Kwanza ahsanteni sana kwa mjadala moto moto.
Pili, wengi wenu huwa mnapenda kutafuta angle hasi Ili mumpige mtu aonekana kafanya vitu vibaya Sana hajawahi kutokea tangu ulimwengu uumbwe. Pia stori imegeuzwa makusudi tu wala haiko hivyo. Lengo sijui.
Kifupi nimeenda ziara hapo na nimekuta walishafukuzwa na mamlaka ya mkoa zamani tu na ilikuwa ni taarifa ya Mkuu wa Mkoa kuhusu hatua alizochukua pale. Hapo alichangia mimi nilipokuwa nahimiza kuwa, shule zote nchini ziwe na madawati ya ulinzi wa watoto kama tulivyozindua miongozo ya kisera mwaka juzi. Sasa mbona vimegeuzwa? 🤣
Tatu; watoto hao wameondolewa kwenda marekebisho ya tabia kwanza kisha waje waende shule zingine kwani, katika haki za watoto ni pamoja na elimu na hata ikiwa watoto wako mahabusu wanaendelea na elimu.
Wakati mkiendelea sasa kujadili na kulaumu, rekebisheni kwanza taarifa wapendwa sana.
Nawapenda Sana mbarikiwe wote 🤝
Mimi naona siku hizi hata pongezi nisipewe tu🤣, nipondwe pondwe tu Ili mradi nimetimiza wajibu wangu, maana ukweli hata hakuna jema kabisa. Wazazi na walezi wenye watoto hawatimizi wajibu wao, sisi tukisema tukaokoe jahazi walilozamisha wao, wanainuka tena wapindisha stori na wanashangiliwa na wazazi nao wanaungana kutuponda😅😅😅Hongera sana muheshimiwa pongezi kwa kazi nzuri ya kusaidia ustawi wa hao watoto na jamii.
Na simu wananunuliwa na wazazi wao halafu hakuna uangalizi na tv wanawekewa king'amuziSasa hivi kila kitu kipo kiganjani
Madg wanajua mambo mengi bila hata ya kufundishwa na mtu
Acha fujoNisiwe mnafki binafsi ningeziona hizo picha ningefurahi sana!
Dkt Gwajima , ukweli ni Ukweli , Maamuzi mlofanya ni sahihi na ninawaunga mkono 100%.Iko sawa kabisa kwa kuwa wameondolewa shuleni hapo wasiharibu wengine na kupelekwa program ya marekebisho ya tabia kwanza kwa kuwa wako chini ya miaka 18 kwa mujibu wa sheria ya mtoto ambayo wengi hamuisomi na Iko humu online.
Lawama laumuni tu kwa kuwa ndiyo uhuru wa maoni ila sisi hufanya haya mambo kitaalamu kabisa. Ahsante Sana ubarikiwe
Tuanze na wewe kwanza. Uko kwenye magrupu ya telegram na whatsapp ulifuata niniHao watoto wafukuzwe mara Moja, ndio hao wanaofanya BIASHARA NGONO kupitia makundi ya Wasap, Telegram , wakisemaa, natoa huduma za
video call .
Picha za kumayangu .
Kufirana.....
Kutombana kama Bata...
Massage...
Wafukuzwe , wasiwaambukize wenzio Michezo mchafu .
Wajinga hao wachache ndo wanaeneza Usagaji na umalaya.
Wanaenda program ya marekebisho ya tabia nje ya walipokuwa maana ni hatari kwa kuambukiza wengine. Mlitaka wabaki hapo hapo?Mkuu pole na majukumu na hongera Kwa Kazi nzuri unayofanya
Naomba kabla ya kuwafukuza shule hawa watoto mmetazama haya mambo kwa undani ?
1. Afya ya akili ya waanafunzi
2. Background ya malezi yao
3 . Umri wao hasa katika Foolish Age
Unapomfukuza mtoto shule unajua unakuwa umemtoa mchezoni kabisa
Kuna adhabu ambazo zinaweza kuwa rafiki na zinazomjenga mtoto .
Elimu ni muhimu maana hakuna MTU ambaye huwa hakosei hivyo ni vizuri mgefikiria hili jambo pasipo kutumia mihemko
Sasa hivi watoto wana share uzoefu kiongozi 😆Na simu wananunuliwa na wazazi wao halafu hakuna uangalizi na tv wanawekewa king'amuzi
Heshima sana kwako Mheshimiwa. Mungu akukuze, ung'ae, uonekane.Story yenyewe inayojadiliwa imepotoshwa. Walishaondolewa shuleni kitambo Mimi nilikuwa napewa taarifa tu, na wameenda program ya malezi na makuzi huko Ustawi wa Jamii Ili tabia zikae sawa waweze kuendelea na masomo eneo lingine. Au walitaka wafundishe shule yote? Na kama wengine wapi huko watajwe Ili waende kwenye program hizo. Halafu jamii isome Sheria ya mtoto kama wanavyosoma mambo mengine yote online maana ipo humu.
Ahsante Sana kwa mjadala
Mh mjumbe ebu sihia hapo..Niliziona zile video yaani..... watoto wanajua utadhani ndiyo masomo waliokua wamebobea...[emoji849]
Dkt Gwajima , ukweli ni Ukweli , Maamuzi mlofanya ni sahihi na ninawaunga mkono 100%.
Hao Mabinti mkifatilia mtandao wao mtagundua ya kwamba wanafanya kazi chini ya Midada na Mijimama inayofanya Biashara NGONO kupitia Mitandao ya Kijamii.
Mabinti hao kupitia Mitandao mbali mbali ya kijamii , kazi yao kubwa ni kutafuta Wateja.
Biashara hii imegawanyika katika vipengele mbali mbali , Mfano.... Watadai wanatoa huduma hizi na Kila huduma Unatakiwa kulipiaa.
Kutuma Picha Uchi.
Kuongea Video call akiwa Uchi.
Kufanya Massage ( wao Wana aina mbali mbali za massage).
Ngono Kwa aina zake
Ngono kinyume na maumbile
N.k.
Sasa nini Hatari Kwa Shule hiyo?.
Kwakua ni Biashara ambayo kwao ni rahisi kuingza Pesa,
Itakua ni rahisi sana kueneza ugonjwa huo Kwa waschana wengine shuleni hapo, Kuongezeka Kwa visa vya Mapenzi ya jinsia moja .
Kwa kulinda Masilahi ya waschana wengine, KUWAFUKUZA MABINTI HAO NDIO LILIKUA SULUHISHO.
lakini pia kupitia Mabinti hao wawili ambao naamini wanaweza kua Wakazi wa Dar, Dodoma, Arusha, Mwanza , mnaweza kufumua mtandao mzima .
Wakati tunapambana na Unyanyasaji wa kimwili dhidi wa watoto, mkumbusheni Waziri Gwajima, watoto hawako salama Mitandaoni
Tunahangaika sana na Jeshi la Polisi kukimbizana na waarifu wanaofanya vitendo hivo. Lakini Binafsi, Sina hakika sana kama Kuna Sheria na kanuni ambazo zinaenda Moja Kwa Moja KUMLINDA MTOTO. Inawezekana Kuna Sheria, ila naamini ni Sheria za kiujumla. Dunia imebadilika sana, inaenda Kasi...www.jamiiforums.com
Kuna tafiti nilikua nafanya .Tuanze na wewe kwanza. Uko kwenye magrupu ya telegram na whatsapp ulifuata nini
😀😀😀😀😀Kuna tafiti nilikua nafanya .