DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wakuu habari zenu!

Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.

Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.

Soma, Pia:
+
Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono

Katika malezi ya sasa yanahitaji akili zaidi ya nguvu, hisia na mihemko. Tusipokuwa makini, hawa gen z watatunyoosha mpaka tukome.
 
Wanaenda program ya marekebisho ya tabia nje ya walipokuwa maana ni hatari kwa kuambukiza wengine. Mlitaka wabaki hapo hapo?

Nakubaliana na wewe Ila mnabidi Kuwa na ubunifu na kufanya ufailtiliaji kujua kipi kinawasukuma hadi wao kufika huko .

Ukiwafukuza shule ambayo ni ya serikali je mmefikiria kuwa wataweza kusoma shule nyingine za kulipia uwezo huo wanao ?

Mmgewapa uhamisho wasiendelee kusoma katika shule wali yo po Ila waende wakosome shule nyingine za serikali.

Mbona viongozi wa serikali huwa wanaharibu na wanaishia kuhamishwa ?

Mnabidi kuwa na ufanisi msijikite kuangalia upande mmoja wa shilingi.
 
Hapana mama, huwa ninakuunga mkono na nitaendelea kukuunga mkono lakini katika hili tuweke mihemko pembeni tujadili uhalisia;
1. Aliyezaa akarudishwa shule, je haharibu wengine kuona kuwa waweza kujihusisha na uasherati na kuzaa na ukarudishwa shule?
2. Kuna tofauti gani na huyu aliyejirekodi kwa ujinga wa utoto tu?

........
Mapendekezo yangu;
  • Waadhibiwe mbele ya wenzao ili iwe funzo kwao na wenzao.
  • si sawa kumnyima mtoto elimu kwa makosa ya utotoni.

Mwisho: Anzeni na wasanii wetu, wanatuharibia jamii na haya ndiyo matokeo ya uharibifu huo.
Wewe nani kakuambia Hawa hawatasoma tena? Mbona hata huko mahabusu za watoto wanasoma. Mbona mnapotosha ukweli kuwa ilibidi waondolewe pale wakarekebishwe tabia ndiyo waende tena kuanza shule? Mlitaka waachwe pale waharibu wote au?

Halafu mbona mimi nimekuta walishaondolewa shuleni kitambo? Au mnadhani mimi ndiyo jana nimewaondoa? Mbona chanzo cha taarifa nacho kimedanganya? Au nacho nikishtaki?
 
Waelimishe tu wengine pia, maana mimi nikiwajibu badhi wanaanza ligi za mashindano 😀
A Logical argument is the one of the significant and essential indicator of person's intellectual development ..

Daima nmekua na Imani Nawewe, nikionaga unasimamia kitu, naelewa nyuma yake una sababu kubwa na za muhimu.

Ikiwa Kuna watu hapa jukwaan Kwa Uzi Huu wanatafuta mabishano ya Ligi , nadhan Hauna haja ya kuumiza vidole.
 
Nakubaliana na wewe Ila mnabidi Kuwa na ubunifu na kufanya ufailtiliaji kujua kipi kinawasukuma hadi wao kufika huko .

Ukiwafukuza shule ambayo ni ya serikali je mmefikiria kuwa wataweza kusoma shule nyingine za kulipia uwezo huo wanao ?

Mmgewapa uhamisho wasiendelee kusoma katika shule wali yo po Ila waende wakosome shule nyingine za serikali.

Mbona viongozi wa serikali huwa wanaharibu na wanaishia kuhamishwa ?

Mnabidi kuwa na ufanisi msijikite kuangalia upande mmoja wa shilingi.
Nikuulize; unajua kwenye vifungo vya watoto kwa mujibu wa Sheria yao tunao wangapi? Unajua wanasoma wapi kwani? Kukomenti lawama bila kuuliza kwani kuna mipango Gani ya serikali kwenye ku deal na watoto wanaokinzana na Sheria yao, Mimi huwa naona kama ni kuongozwa na chuki tu binafsi dhidi ya kiongozi
 
A Logical argument is the one of the significant and essential indicator of person's intellectual development ..

Daima nmekua na Imani Nawewe, nikionaga unasimamia kitu, naelewa nyuma yake una sababu kubwa na za muhimu.

Ikiwa Kuna watu hapa jukwaan Kwa Uzi Huu wanatafuta mabishano ya Ligi , nadhan Hauna haja ya kuumiza vidole.
Ndiyo maana komenti zao huwa nazipita tu, najibu yenye mashiko chanya
 
Wakuu habari zenu!

Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.

Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.

Soma, Pia:
+
Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Ndugu mwanzisha Uzi salaam. Sasa huko kuonywa wewe unajua wameshaonywa mara ngapi kwani? Na pia huko kuendelea kusoma hapo huoni kama wangeambukiza wengine? Unajua kuwa, watoto Wana haki ya elimu na hata waliohukumiwa kwa makosa mbalimbali, hufanyiwa marekebisho ya tabia na kuendelea na masomo. Sasa Hawa vipi wabaguliwe? Sasa hoja hapa ni kuwa hufahamu mengi nyuma ya hatua hizi ambazo ni kwa mujibu wa taratibu za Sheria ya mtoto na ustawi wa jamii. Ungeniuliza naamini ungeandika vema zaidi Uzi wako ukiwa ume balance equation yako vema. Siku ingine tafadhali fanya hivyo. Kila la heri
 
Mimi mama Nakuuelewa Ila Kama umehusika kuwaondoa hao watoto shule utakuwa umekose
Nikuulize; unajua kwenye vifungo vya watoto kwa mujibu wa Sheria yao tunao wangapi? Unajua wanasoma wapi kwani? Kukomenti lawama bila kuuliza kwani kuna mipango Gani ya serikali kwenye ku deal na watoto wanaokinzana na Sheria yao, Mimi huwa naona kama ni kuongozwa na chuki tu binafsi dhidi ya kiongozi

Hatuna chuki mkuu Ila tunapenda kuona mnatumia nguvu ambayo italeta matokeo chanya Kwa jamii nzima.

Katika shule za serikali je mmefikiria kuajiri wanasaikolojia ambao watakuwa wana-shape tabia za watoto

Mambo yenu mengi hayana mpangilio mzuri .

Jaribu Kuwa mbunifu na ujitofautishe

Mfano unashindwa kuandaa bajeti ya kuajiri wanasaikolojia mashuleni angalau kila shule wakawepo walimu wawili watakaodili na Saikolojia na malezi
 
Nimwambie binti yangu nampenda.! Haya mambo sio pigo zetu wanaume wa kiafrika, upendo wa baba utauona tu kupitia sacrifice zake kwa familia. Wakina mama mnashinda sana na watoto ndio mnatakiwa kuwa-monitor na kupeleka taarifa kwa baba mkiziona dosari
Ukiweza kumtamkia sawa na vizuri hata usipoweza kama watu wetu tulivyo sawa tu, ila ni vizuri akajua kwamba baba yupo kwa vitendo. Kwamba akipata shida, haoni ugumu kumtafuta baba amsaidie..sio kifedha peke yake! Hata ktk mambo mengine.
 
KAMA TAIFA TULIKWISHA FAIL KITAMBO SANA KATIKA SUALA LA MALEZI
Awali ya yote miaka ya nyuma kabla ya wizara hii kuundwa hapo mwaka 2021 jamii wala ilikuwa haijui yanayojiri, ilikuwa kimya hata mijadala haikuwepo.
Hata maswali bungeni eneo la wizara hii yalikuwa machache mno.

Mhe Rais wa Awamu ya 6 Kaunda wizara mwaka 2021, tumeingia kazini kuelimisha jamii pameanza kuchangamka walau ukubwa wa tatizo unaanza kusikika na kujadiliwa, wengine wanaona hamna kitu🤣
Mwanzo wa kupambana na adui ni nini?, si watu kufahamu ukubwa wa tatizo na kuingia kazini wote kama Taifa. Miongozo na mikakati tunapozindua hakuna anayefuatilia, likitokea tatizo tukaanza kulikabili kwa mujibu wa mikakati ya kitaifa, baadhi wanaishangaa tena na kuhoji.

Anyway, nimejifunza mengi kwenye uongozi 🤣
 
Mimi mama Nakuuelewa Ila Kama umehusika kuwaondoa hao watoto shule utakuwa umekose

Hatuna chuki mkuu Ila tunapenda kuona mnatumia nguvu ambayo italeta matokeo chanya Kwa jamii nzima.

Katika shule za serikali je mmefikiria kuajiri wanasaikolojia ambao watakuwa wana-shape tabia za watoto

Mambo yenu mengi hayana mpangilio mzuri .

Jaribu Kuwa mbunifu na ujitofautishe

Mfano unashindwa kuandaa bajeti ya kuajiri wanasaikolojia mashuleni angalau kila shule wakawepo walimu wawili watakaodili na Saikolojia na malezi
Nimekuta walishaondolewa na hata kama ningewakuta ningewaondoa tu kuwapeleka kwenye program stahiki ya kuwatengeneza. Ulitaka waachwe? Wewe ulitakaje kwani
 
Hao watoto wafukuzwe mara Moja, ndio hao wanaofanya BIASHARA NGONO kupitia makundi ya Wasap, Telegram , wakisemaa, natoa huduma za

video call .

Picha za kumayangu .

Kufirana.....

Kutombana kama Bata...

Massage...

Wafukuzwe , wasiwaambukize wenzio Michezo mchafu .

Wajinga hao wachache ndo wanaeneza Usagaji na umalaya.
.........kama bata🤣🤣
 
Wakuu habari zenu!

Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.

Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.

Soma, Pia:
+
Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Jamani mm siwezi kuamini hadin8o e hizo picha. Ilikuwaje? Naomba mwenye nazoanitumir PM nijiridhishe kwanza kabla ya kutoa comment yoyote.
 
hakuna siri, kwa mtazamo wangu, katika mawaziri failures wa mama Samia huyu Dkt. Gwajima D anaongoza.

Taifa limeporomoka kabisa kimaadili mpaka naamini kuwa yeye ndiye muhusika mkuu wa maadili kuporomoka kwa kushindwa kwake kudhibiti kwa njia za kisasa.

Nilicheka peke yangu, aliponambia humu JF kuwa anatumia mbinu za enzi za mMkapa kupambana na matatizo ya sasa.

Nilimponda hapohapo, kwani hata nilipojaribu kumshauri alikuwa hanielewi kabisa. Nikaelewa kuwa huyu mwanamke hana ubunifu kabisa.

Tunajionea maadili ya jamii yanavyozidi kuporomoka kila kukicha.

Nijuavyo na ndiyo ukweli, maadili siyo jambo linaloshughulikiwa na mtu mmoja au kikundi kimoja au aina moja ya watu. Maaduli ni suala mtambuka. Maadili ni jukumu la jamii nzima. Jamii yote ikishiriki kwa dhati katika kujenga na kudumisha maadili, jamii inaona waazi kabisa ustawi wa maadili. Zamani wakati tunakua, tulikuwa watoto wa jamii.

Ukiwa mbali na wazazi yulikuwa tunaogopa kufanya ujinga kwa maana mtu mzima yeyote akikukuta anakupa nidhamu sawa kabisa kama utakayopewa na baba/mama yako. Halafu kila mtu mzima alikuwa anajiona ana wajibu wa kuhahihisha watoto wanakuwa na mwenendo wenye nidhamu. Lakini siku hizi mambo yako tofauti kabisa. Wazazi tuko bize kupita maelezo.

Hata watoto walioko ndani mwetu tunashindwa kuwalea vyema. Mpaka wengine tuna outsource malezi kwa kuwapeleka boarding wayoto wachanga au kuwaachia watoto wasichana wa kazi. Muziki ni mzito. Maana madhara mengi sana, lakini lililo kubwa ni kuwa watoto wa sasa wengi hawatakuwa na mapenzi ya dhati kama ambayo sisi wa zamani tuliyo nayo kwa wazazi wetu.

Sababu kubwa ni kuwa, hatuna muda na watoto kwa sasa, nao pia wakiwa wakubwa hawatakuwa na muda na sisi. Hapo talaka haija gusiwa. Ngoja niishie hapa. Lkn ukweli suala la maadili na malezi ni shiriikishi. Siyo la waziri pekee.
 
Nimekuta walishaondolewa na hata kama ningewakuta ningewaondoa tu kuwapeleka kwenye program stahiki ya kuwatengeneza. Ulitaka waachwe? Wewe ulitakaje kwani

OK hongera

Je Mh umefikiria swala la kuajiri wanasaikolojia mashuleni ambao watahakikisha wanaweka sawa swala la malezi na Afya ya Akili ya wanafunzi!?

Kuna mambo mengi Sana yanayoendelea mashuleni nisingependa kuyaandika hapa .

Kwanini msifikirie kitu Kama hiki
 
Back
Top Bottom