hakuna siri, kwa mtazamo wangu, katika mawaziri failures wa mama Samia huyu
Dkt. Gwajima D anaongoza.
Taifa limeporomoka kabisa kimaadili mpaka naamini kuwa yeye ndiye muhusika mkuu wa maadili kuporomoka kwa kushindwa kwake kudhibiti kwa njia za kisasa.
Nilicheka peke yangu, aliponambia humu JF kuwa anatumia mbinu za enzi za mMkapa kupambana na matatizo ya sasa.
Nilimponda hapohapo, kwani hata nilipojaribu kumshauri alikuwa hanielewi kabisa. Nikaelewa kuwa huyu mwanamke hana ubunifu kabisa.
Tunajionea maadili ya jamii yanavyozidi kuporomoka kila kukicha.