Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Mkuu nakubaliana na wewe 💯 lakini hii iwe na mtu mwenye hekima kama ulivyofanya wewe. Lakini mtu asie na hekima wala busara anafanya maamuzi ya hafla kwa fitna aliyo letewa. Kuna watu wana PHD ya fitna wana itengeneza kama movie vile. Ndio maana huyo Boss wa mbezi kumuona jamaa akataka kuongea nae alijua alipatiwa fitna ili amfukuze jamaa. Ila baadae alijutia uamuzi wake, ndio maana akataka waongee.Ngoja niishi na huu uzi
Ila huyo boss WA mbezi mpuuzi Sana, ni mtu WA kukurupuka Sana,unaletewa taarifa badala ya kuifanyia kazi na kupata uhakika unaitolea maamuzi Kwa hisia badala ya kureason, Kwanza angejiuliza hapa kuna wizi Sana,je hii sio sababu ya wezi kumhujumu huyu mtu?
Pili angepima tofauti ya mapato kabla ya usimamizi wako na baada ya wewe kuanza kusimamia je kuna tija yoyote? Kisha hapo ndo Angekuja na uamuzi sahihi.
Haya mambo yapo Sana,kuna kipindi nilikuwa meneja uajiri kampuni Fulani,kuna wafanyakazi nikawaajiri,basi wenzao wakaanza fitina, unajua boss hawa jamaa wachoreshaji Sana wanasoma mazingira halafu wanawaita majambazi! Sasa kwakuwa Mimi sio mkurupukaji nikawasikiliza hlf nikasema nitalifanyia kazi.
Baadae nikaja kugundua kwamba hao jamaa ni wapigaji kazi Wazuri Sana kwahiyo waliogopa watachukua nafasi zao,kwakuwa niliwapa kazi kama deiwaka hivi, kwahiyo ukiwa kiongozi sehemu yoyote Ile usiwe mkurupukaji,pata taarifa,tulia ichambue kisha ifanyie kazi na kisha uje na majibu.
Ni kweli mkuu ,shida ya watazania watakusaidia sawa lakini hawatataka ufanikiwe kupitia wao ,wakati wanakulipa mshahara ,unajua utofauti wa maisha upo kwenye matumizi ,Mimi sinyi pombe ,sivuti sigara ,napenda kuwa na mke na sio michepukowala mahawala ,naishi kwa hesabu ,natumia pesa niliyopanga kutumia hivyo Sina sababu ya kuacha kufanikiwa ,Sasa mtu anakuajili vizuri akiona unataka kufanikiwa anaanzisha chuki ,haiwezekani mtu umpe mshahara wa laki 5 halafu simu ya laki moja tu ikutoe imaniNgoja niishi na huu uzi
Ila huyo boss WA mbezi mpuuzi Sana, ni mtu WA kukurupuka Sana,unaletewa taarifa badala ya kuifanyia kazi na kupata uhakika unaitolea maamuzi Kwa hisia badala ya kureason, Kwanza angejiuliza hapa kuna wizi Sana,je hii sio sababu ya wezi kumhujumu huyu mtu?
Pili angepima tofauti ya mapato kabla ya usimamizi wako na baada ya wewe kuanza kusimamia je kuna tija yoyote? Kisha hapo ndo Angekuja na uamuzi sahihi.
Haya mambo yapo Sana,kuna kipindi nilikuwa meneja uajiri kampuni Fulani,kuna wafanyakazi nikawaajiri,basi wenzao wakaanza fitina, unajua boss hawa jamaa wachoreshaji Sana wanasoma mazingira halafu wanawaita majambazi! Sasa kwakuwa Mimi sio mkurupukaji nikawasikiliza hlf nikasema nitalifanyia kazi.
Baadae nikaja kugundua kwamba hao jamaa ni wapigaji kazi Wazuri Sana kwahiyo waliogopa watachukua nafasi zao,kwakuwa niliwapa kazi kama deiwaka hivi, kwahiyo ukiwa kiongozi sehemu yoyote Ile usiwe mkurupukaji,pata taarifa,tulia ichambue kisha ifanyie kazi na kisha uje na majibu.
Shusha nondo kaka ukilaza sana unatoa hamu ya watu kusoma na kukupatia ushauri.Ni kweli mkuu ,shida ya watazania watakusaidia sawa lakini hawatataka ufanikiwe kupitia wao ,wakati wanakulipa mshahara ,unajua utofauti wa maisha upo kwenye matumizi ,Mimi sinyi pombe ,sivuti sigara ,napenda kuwa na mke na sio michepukowala mahawala ,naishi kwa hesabu ,natumia pesa niliyopanga kutumia hivyo Sina sababu ya kuacha kufanikiwa ,Sasa mtu anakuajili vizuri akiona unataka kufanikiwa anaanzisha chuki ,haiwezekani mtu umpe mshahara wa laki 5 halafu simu ya laki moja tu ikutoe imani
Aise naomba uendelee kufuatilia ,Kuna vitu vingi nitaeleza wazi ili nipate ushauri kutoka kwenu
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Tawileee, tupe madini, na uondo.Ni kweli mkuu ,shida ya watazania watakusaidia sawa lakini hawatataka ufanikiwe kupitia wao ,wakati wanakulipa mshahara ,unajua utofauti wa maisha upo kwenye matumizi ,Mimi sinyi pombe ,sivuti sigara ,napenda kuwa na mke na sio michepukowala mahawala ,naishi kwa hesabu ,natumia pesa niliyopanga kutumia hivyo Sina sababu ya kuacha kufanikiwa ,Sasa mtu anakuajili vizuri akiona unataka kufanikiwa anaanzisha chuki ,haiwezekani mtu umpe mshahara wa laki 5 halafu simu ya laki moja tu ikutoe imani
Aise naomba uendelee kufuatilia ,Kuna vitu vingi nitaeleza wazi ili nipate ushauri kutoka kwenu
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Dah! ubinadamu kazi.Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -21
Kwa kweli wife na bwana mdogo walihangaika sana kunipatia dhamana lakini ilikuwa kazi bule basi nilihangaika kama wiki moja baadae ndio kesi ikapelekwa mahakamani ,nakumbuka moja kati ya maaskari walionisindikiza mahakamani alikuwa wa kike akaniambia tafuta wadhamini wawili sababu mahakamani wadhamini ni wawili
Tulivyofika mahakamani tukaweka sehemu ya mahabusu baadae akaanza kuitwa mmoja mmoja ,ila Kuna watu huko wanajua Mambo ya kesi ,yaani unafundishwa namna ya kujibu kesi utadhania upo na mwanasheria au hakimu
Jina langu baadae likaitwa nikasomewa mashtaka nikapinga , baadae wakasema dhamana ipo wazi ,nikawa nimedhaminiwa,kesi walisema turudi mwezi hujao
Basi Mimi nikarudi home nakumbuka dogo akaniambia nisiingie na nguo ndani ,nilizivua baadae nikaenda kuoga Kisha nikala nikapimzika ,nilivyoamka nikaelekea zangu kinondoni , nilivyofika nikaingia kwenye ofisi ya bosi nikamueleza kwa Nini sikuwepo kazini ,bosi alinipa pole baadae nikaaga nikaelekea zangu mbezi
Nilivyofika mbezi nikamkuta Dr mmoja hivi nilimuachia wakati nimeingia kwenye matatizo bado yupo ,tukasalimiana fresh tu akanipa pole
Basi Mimi nikaenda zangu kukagua mahesabu nikakuta mauzo yapo vizuri ,nikamuomba bint zile pesa ,binti akaniambia yule mzee ndio waga anakuja kuchukua pesa ,duh nikashangaa Sasa anakujaje kuchukua pesa
Basi bado Niko pale na yule binti yule mzee akafika nikamsalimia then akaniambia ana kikao na sisi wote ,Mimi nikatulia sikuongea chochote
Basi tukaingia kwenye kikao nikashangaa na yule binti alienda kunishtaki nae akaja basi mzee akaanza kuongea ,kwamba kuanzia leo hospital ipo chini yake na bwana eagle sio bosi Tena na meneja atakuwa ni yule jamaa ,yule Dr niliyemuweka pale ,bwana eagle kama anataka kazi atakuwa Dr wa kawaida hakuna kuulizia pesa Wala kuingia kwenye mahesabu
Aise Mimi sikuongea chochote nilikaa kimya tu ,baadae mzee alivyomaliza akaondoka na watu wakawa wametawanyika tu , walikuwa wamebaki wafanyakazi wawili katika hao wawili stinich alikuwa mmoja tu ,sababu yule Dr pia aliondoka kwamba ngoja akapumzike atarudi jioni kunitoa
Basi yule snich mwingine akawa ameenda kula ,tulipokuwa tunakula kulikuwa Kuna ka mwendo kidogo, nikabaki na moja kati ya wale wadada wawili ambao nilikuwa nawapenda sana maana walikuwa vizuri
Basi Mimi nikaingia sehemu ya dawa nikamwambia unaniamini akasema na kuamini sana bosi , kulikuwa na wadada wawili walikuwa very loyal to me ,na uyu pia aliyekuwepo amebaki alikuwa mmoja wao
Nikamwambia kama unaniamini naomba unifanyie msaada mmoja tu , nikamwambia nachukua dawa zote zilizomo humu akasema hakuna shida ,basi Mimi nikapakia kwenye mfuko zile dawa zote ,nikawaachia duka lipo tupu ,basi nikamwambia mm naondoka mungu akipenda tutaonana ,nikatoka na zile dawa nikaita bajaji nikapakia huyo nyumbani
Wakati huo roho inauma hatari ,japo nilijua haya yatakuja kutokea lakini sio mapema kiasi hiko ,nilijua jua tu kwa sababu yule mzee kwenye mkataba alikuwa ananizungusha nilijua lakini sio mapema kiasi hiko
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Watu wanaroho za kiuwaji isee..Bandika kingine.
Sasa lazima unegundua kwamba wazee wa Dar sio watu.
Tupia muendelezo pls.Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -21

Aisee pole sanaTabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -21