Benbulugu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 852
- 1,236
Msemo huu nnaenda kuuweka kwenye diary yangu mzeeThis is Huge win[emoji122]We left home to change home
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemo huu nnaenda kuuweka kwenye diary yangu mzeeThis is Huge win[emoji122]We left home to change home
Pamoja chiefNi kweli mkuu ,shida ya watazania watakusaidia sawa lakini hawatataka ufanikiwe kupitia wao ,wakati wanakulipa mshahara ,unajua utofauti wa maisha upo kwenye matumizi ,Mimi sinyi pombe ,sivuti sigara ,napenda kuwa na mke na sio michepukowala mahawala ,naishi kwa hesabu ,natumia pesa niliyopanga kutumia hivyo Sina sababu ya kuacha kufanikiwa ,Sasa mtu anakuajili vizuri akiona unataka kufanikiwa anaanzisha chuki ,haiwezekani mtu umpe mshahara wa laki 5 halafu simu ya laki moja tu ikutoe imani
Aise naomba uendelee kufuatilia ,Kuna vitu vingi nitaeleza wazi ili nipate ushauri kutoka kwenu
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Maisha yana changamoto sana. Huyo mwanamke aliyekusingizia umembaka ili apate faida gani? Na huyo jamaa yake ni kichaa. Mimi mwanamke wa hivyo najua kama aliweza kukusingizia hata huyo jamaa atamsingizia.Ni mwendo wa bandika bandua kesho au kesho kutwa tunaweza kumaliza kabisa
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kwa ufahamu wangu kwa mujibu wa maelezo ya assassin eagle, huyu mwanamke ametumika kutimiza mission ya mwenye hio hospital. Kutokana na mabadiliko ya huyo mwanamke, kwenda kudai hela na kufunguliwa kesi hii yote ilipangwa kijasusi. Ndio maana assassin eagle kurudi tu mmiliki aliweka kikao na kujitambulisha yeye ndie mmiliki halisi na assassin eagle sio mkodishwaji tena.Maisha yana changamoto sana. Huyo mwanamke aliyekusingizia umembaka ili apate faida gani? Na huyo jamaa yake ni kichaa. Mimi mwanamke wa hivyo najua kama aliweza kukusingizia hata huyo jamaa atamsingizia.
Huyo mama uliyemtongoza ana akili sana. Kuna umri ukifika, siyo wa kukimbizana na mapenzi.
Kichwa cha chini, kina nguvu kuliko kichwa cha juu.Wewe una mke halafu unatongoza nyumba ya jirani? Wife akija itakuwaje?
Pole sana .Tabu Ninayopata kutoka kwenye familia yangu -25
Tulivyorudi nyumbani nikamueleza baba mwanzo wa matatizo yote ,nikamwambia baba ngoja tu nitafute mwanamke mwingine nioe ,baba akaniambia ngoja ataongea nae
Basi baadae baba akamuita tukaanza kuongea basi akaonekana ameelewa ,baadae nikaingia ndani kunywa dawa akanipa dawa vizuri nikameza
Baadae akaniambia naomba uoe mwanamke mwingine ili akusaidie si unaona unaumwa , akaniambia kwani tokea nimekwambia hivi hujawahi kufanya maandalizi ya kutafuta mtu ,nikamwambia nilitafuta lakini bado hajanielewa ,basi akaniomba namba ya simu ya huyo Dada wakaongea kwamba ameruhusu Mimi nimuoe ,yeye atakuwa mke mkubwa halafu mwenga atakuwa mke mdogo
Baadae alivyomaliza kuongea nae akanisisitiza kwamba nihakikishe naoa ,kesho yake akawa ameondoka kurudi kazini
Baadae Mimi nikamwambia baba uyu mwanamke naona hanitaki Tena ,basi yule mke wangu alikuwa anakaa na mtoto wa shangazi yake ,Sasa uyo binti akanipigia simu akaniambia yule Dada yake siku hizi anamtu waga anakuja kulala pale nyumbani aise niliumia sana
Basi baadae baba aliondoka Mimi nikabaki pale na braza na wale watoto wa Dada yangu ,baadae nikafanya process ya kumuoa yule mwanamke ,niliona nichague mtu ambae hajasoma
Bado ndoa changa nikapata uhamisho wa kuhamia wilaya ingine uhamisho kutoka kwa RAs ,basi mke wangu alivyosikia nimeoa ndio ikawa tiketi ya kuniacha
Akawaambia kwao kwamba amenikuta nimeshaoa ndio maana ameamua kuniacha ,kumbe ile kunilazimisha kuoa alitaka apate sababu ya kuniacha
Unajua Kuna kipindi kaka yangu mtoto wa mama mkubwa alijiua kwa sababu mke wake ambae alizaa nae watoto wawili alimkataa ,japo nilikuwa nahuzunika lakini nilikuwa nishangaa ni kwa Nini braza ajiue wakati wanawake wapo wengi
Aise usiombe ikakukuta yaani hauoni another option Zaid ya hiyo ya kujiua ,
Yule mwanamke niliemuoa alikuwa single mother wa watoto watatu ,nae sijui alikuwa na mental trauma alikuwa ni mkorofi sana anapenda kugombana yaani ukimkosea kidogo tayari makofi
Sasa nikaona uyu tunaweza Kuna kuumizana tulibahatika kupata nae mtoto mmoja wa kike ,lakini baadae ilibid niachane nae
Mwaka huu nimeoa mke mwingine naomba mungu sana anijaalie nidumu na uyu,
Baadae yule mke wangu wa kwanza alinitafuta na kuniomba msamaha ilikuwa bado sijaoa uyu wa tatu lakini nikaona haina haja ya kuwa na mtu asie na msimamo
Ndio maana nikaona nioe tu mtu mwingine
Sasa tabu ninazopata kutoka kwenye familia yangu ni ;-
1 wazazi na ndugu hawaniongelei vizuri pindi ninapo oa ,mke wa kwanza waliongea Mambo mengi sana hasa mama
2-hata ukitoa msaada hawathamini siku ukiombwa na ukawa huna basi ni maneno mabaya mabaya wanakuongelea
3- mama Sasa hivi ameshazeeka lakini bado anang'ang'ania kufanya zile shughuli za uvuvi Kila siku ni kupoteza pesa ,anahitaji nimnunulie mashine lakini Mimi naona ameshachoka halafu Kuna wadogo zangu wapo chuo nikinunua hiyo mashine nitashindwa kuwasapoti
4 - nimeoa mke wa tatu ,mama alitoa maneno mabaya sana but Sina Cha kufanya Zaid ya kumshukuru mungu
Kule nilipohamishwa nilitengeneza mazingira mazuri sana lengo langu ni kufungua kampuni
Ambayo itakuwa ina deals with
1 .Agroproduction (kilimo na ufugaji )
Yaani na Lima nafuga pia nakuwa na mashine za kusanga na kukoboa halafu nafunga kwenye viroba nauza
2.viwanda vidogo vidogo kama mikate na mashine ya kuprocesa ngozi
3.usagirishaji (magari ya abiria
4.duka la dawa , zahanati na maabara
5.maduka ya jumla
6 .magari ya mizigo
Naamini nitafanikiwa kwa sababu naona kabis siwezi kubadili maisha yangu kwa kazi za kuajiriwa Tena humu serikalini kulivyo na changamoto
Ndio hivyo ndugu zangu ,naombeni ushauri wenu nifanye Nini ili niweze kufikia malengo yangu
Dunia tunayoenda nayo ni ngumu sana
Mwisho
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Watoto wanne mamaaaaeee hii huruma sina mieTabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -22
Hiyo yote ilikuwa mpango wa yule mzee ,alipata wivu kuona nafanikiwa ,kwa siku nilikuwa naigiza mil 1,saa ingine laki 8,laki 6 ,biashara ikiwa mbaya sana laki 4 ,sababu vipimo vyote vilikuwepo hasa utrasound wamama walikuwa wanapenda sana ,kwa hiyo kwa mwezi mili 18 zilikuwa hazinipigi chenga ,ukitoa 3m ya mzee ,mil 6 za watumishi ,mil 2 bili mbali mbali umeme maji ,unakuta nabaki na mil 7 au 8 kwa mwezi,na hapo ni kama miezi 3 tu tokea mzee aniachie ,wakati yeye hata kulipa watumishi alikuwa hawezi
Nilitamani nikashtaki lakini namshukuru rafiki yangu akanishauri niache ni dili na kesi kwanza , akaniambia huyo mzee hutomuweza kwanza ana pesa ,Aise rafiki yangu mungu akuweke mahali pema peponi ulinisaidia Mambo mengi sana (tumemzika mwezi wa kwanza huyu jamaa )
Unajua pale nijitoa sana niliumiza kichwa na akili roho iliniuma sana ,nilikuwa nimeshafanikiwa kununua kiwanja chanika kama unaelekea mvuti hapo katikati
Aise sikuwa na hamu nilichoka sana ukitegemea hapo Nina kesi mahakamani ,wakati Niko pale mbezi Kuna mma mmoja alikuja amekwama na mfupa wa samaki kwenye Koo ,Sasa nilimtolea simple tu mpaka akashangaa ,Sasa yule mama alikuwa yupo vizuri, sema ukweli nilimpenda sana ,nikawa nimemuaproch ,mama akasema Mimi nakukubali sana harakati zako lakini Mimi ni mkubwa sana kwako yaani hulingani hata na mwanangu wa mwisho , akaniambia ww endelea kuwa jamaa yangu tu wa kawaida ila kwenye mapenzi hapana
Basi nilivyopata Yale matatizo nikawa nimemueleza huyo mama ,yule mama akanipa namba ya rafiki yake akaniambia nimuone atanisaidia ,basi Mimi nikamtafuta yule rafiki yake ,basi huyo rafiki akaniambia nimfuate sehemu fulani hiv kama unaelekea uwanja wa taifa kulikuwa Kuna nyumba fulani kulikuwa Kuna watu wanafanya meditation basi nikaenda kumuona halafu nikamsimulia kisa changu
Basi yule rafiki wa rafiki yangu tumuite mama Tina ,mama Tina akaniambia ni vizuri tutafute njia nzuri ya kumaliza hii kesi tukisema tupambane hapa utaumia muda na pesa vitapotea ,hapa njia ambayo inabid tuitumie wewe nipe namba zake Mimi nitamtafuta huyo Dada ,basi nikampa namba
Akawa ameenda kumtembelea nyumbani kwake akamkuta na mume wake wakaongea , nashukuru sana yule mume wake alikuwa muelewa sababu alikuwa anajua kabisa kesi ni ya kusingiziwa ,basi waka taka pesa fulani hiv ili waweze kufuta kesi
Basi fedha zilitoka mwisho wa siku tuliweza kumaliza kesi ,mungu akibariki popote ulipo mama Tina (najua ukisoma uzi huu utakumbuka ) ulinisaidia kama ndugu yako na sikukulipa chochote
Basi Mimi niliendelea kufanya kazi kinondoni lakini nilikuwa na msongo wa mawazo ,baada kama ya wiki mbili hiv ajira za makufuli zikatoka kipindi kile aliajiri watu wengi sana wa afya Mimi pia nilikuwepo na mke wangu ila tulipangwa mikoa tofauti
Sema ukweli sikupenda ajira za serikali lakini niliona ngoja nikapumzikie huko ,basi tuliajiliwa lakini mikoa tofauti na mke wangu
Basi baada ya kuripoti basi tukarudi kufunga mizigo then tukaanza kufanya kazi rasmi ,aise tulipangwa sehemu nzuri japo nikijijini lakini mzunguko wa pesa ulikuwepo mkubwa has a sehemu niliyopanga Mimi
Basi tutaendelea na kazi ,Sasa mimi nilibakiwa na tupesa pesa kidogo nilikuwa kama na mil 12 ,nikaona niwekeze kule kijijini kilimo pamoja na ufugaji ulikuwa unalipa sana
Nyumbani kulikuwa na Dada yangu amezaa watoto 6 single mother halafu wababa tofauti ,njia ya kumsaidia nikaona nimpe mtaji mkubwa tu nilipa halafu nikachukua watoto wake wanne na pamoja na mfanyakazi wa kuwalea
Aise kazi ya kulea isikie tu kwa majirani
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Unaona sifa mwenyewe kuoa ovyo ovyoTabu Ninayopata kutoka kwenye familia yangu -25