Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

Ni kweli mkuu ,shida ya watazania watakusaidia sawa lakini hawatataka ufanikiwe kupitia wao ,wakati wanakulipa mshahara ,unajua utofauti wa maisha upo kwenye matumizi ,Mimi sinyi pombe ,sivuti sigara ,napenda kuwa na mke na sio michepukowala mahawala ,naishi kwa hesabu ,natumia pesa niliyopanga kutumia hivyo Sina sababu ya kuacha kufanikiwa ,Sasa mtu anakuajili vizuri akiona unataka kufanikiwa anaanzisha chuki ,haiwezekani mtu umpe mshahara wa laki 5 halafu simu ya laki moja tu ikutoe imani

Aise naomba uendelee kufuatilia ,Kuna vitu vingi nitaeleza wazi ili nipate ushauri kutoka kwenu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Pamoja chief

Nimekaa sehemu nauzoom huu uzi
 
Ni mwendo wa bandika bandua kesho au kesho kutwa tunaweza kumaliza kabisa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Maisha yana changamoto sana. Huyo mwanamke aliyekusingizia umembaka ili apate faida gani? Na huyo jamaa yake ni kichaa. Mimi mwanamke wa hivyo najua kama aliweza kukusingizia hata huyo jamaa atamsingizia.
Huyo mama uliyemtongoza ana akili sana. Kuna umri ukifika, siyo wa kukimbizana na mapenzi.
 
Tabu Ninayopata kutoka kwenye familia yangu -23
Pale kazini nilipangiwa kuwa incharge bwa kituo Cha afya ,kwa kawaida kituo Cha afya kinatakiwa kiweze kutoa huduma za upasuaji kwa wajawazito ,lakini vituo vingi vya afya vya serikali ni majina tu hizo huduma unakuta hakuna ,hivyo vinakuwa havina tofauti na zahanati

Basi nikawa nimepewa nyumba nzuri tu ya kuishi ,kile kijiji wananchi walikuwa wanajishughulisha na kilimo Cha mazao ya chakula na biashara ilikuwa ni zao la tumbaku ,tofauti na katoro geita sijawahi kuona Kijiji kina msunguko wa pesa kama hiki nilichopangiwa Mimi

Basi Mimi nikaanza harakati za mashamba na ufugaji wa kuku wa kienyeji ,ufugaji nilianza kufugia hapo hapo ,Sasa nyumba niliyokuwa ninaishi ilikuwa 2 in 1 ,upande mwingine alikuwa anakaa nesi mmoja ambae ndio matroni wa hospital

Sasa yule matroni alikuwa anapenda sana kunikaribisha kwake ,unakuta documents fulani unazihitaji anakwambia njoo uchukue nyumbani alikuwa ana katoto kadogo kananyonya naona alipigwa mimba mtaani

Sasa yule nesi stor zake nilikuwa nimeshazisikia alikuwa anapenda sana kutembea na wakubwa ,hivyo sikupenda kuvuka mipaka sana

Kipindi Cha mwisho wa mwaka vyuo vilifungwa kwa ajili ya likizo fupi ya sikukuu ,yule nesi akaja kutembelewa na mdogo wake ambae yupo chuo ,wakati huyo mke wangu uko aliko alikuwa analea ujauzito

Aise kale jadogo kake nesi nilikaelewa sana nikawa nakalia timing ,Kuna siku nikashangaa ujumbe unaingia , brother naomba unisaidie laki moja ,nimepata supplementary hivyo inahitajika hiyo pesa na sitaki Dada yangu ajue from mdogo wake nesi ,nikamuuliza namba yangu umepata wapi akasema amechukua kwenye simu ya Dada yake

Basi na mm nikamwambia Mimi mwenyewe nilikuwa ninashida na ww ,nimetokea kukupenda sana we bint ,basi kakazunguka zunguka mwisho wa siku kakakubali ,Mimi pia nilihaid kumpa ile pesa kaliyoomba ( aise mdogo wake nesi kama unasoma uzi huu tafadhali nitafute nimekumis sana )

Kwa nyuma ya ile nyumba yetu kulikuwa Kuna giza sana ,ndio nikamwambia tukutane huko basi tukakutana huko kisses nyingi sana na nk

Basi mapenzi yetu yaliendelea kwa kuiba iba kama hivyo Dada yake akiwa kazini mm naingia ndani kwao

Kuna siku tulikosana na mdogo wake nesi sikumbuki sababu ilikuwa ni Nini baadae Dada yake akawa amesafiri ameenda wilayani mpaka imefika jioni Dada yake sikumuona kurudi ,Sasa Mimi imefika saa 5 usiku nikasema ngoja niende kwa nesi nikambembeleze mpenzi wangu ,nikafika kugonga dilishani kimya ,gonga kimya baadae nikasikia ww nani ,nesi akafungua dilisha duh yaani hata Cha kujibu nilikosa ,nesi akafungua mlango akaniambia njoo uniambie mdogo wangu unamtakia Nini usiku huu

Nikamwambia nilikuwa nataka nimuulize kama wewe umesharudi ,nesi akaniambia naomba iwe mwanzo na mwisho

Basi bana Mimi nikaelewa nikarudi zangu kulala ,kesho asubuhi kazi kama kawa ila Kuna mda pia nesi akaniita ofisini akaanza kukumbushia ya Jana

Sijui ilikuwaje akambana yule binti mpaka akasema kinachoendelea kati yetu ,Aise nesi akaja kuwa adui yangu mkubwa

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Maisha yana changamoto sana. Huyo mwanamke aliyekusingizia umembaka ili apate faida gani? Na huyo jamaa yake ni kichaa. Mimi mwanamke wa hivyo najua kama aliweza kukusingizia hata huyo jamaa atamsingizia.
Huyo mama uliyemtongoza ana akili sana. Kuna umri ukifika, siyo wa kukimbizana na mapenzi.
Kwa ufahamu wangu kwa mujibu wa maelezo ya assassin eagle, huyu mwanamke ametumika kutimiza mission ya mwenye hio hospital. Kutokana na mabadiliko ya huyo mwanamke, kwenda kudai hela na kufunguliwa kesi hii yote ilipangwa kijasusi. Ndio maana assassin eagle kurudi tu mmiliki aliweka kikao na kujitambulisha yeye ndie mmiliki halisi na assassin eagle sio mkodishwaji tena.
 
Wasukuma wanazaliana sana aisee halafu bila kujua hii familia ntasonga nayo vipi huko mbeleni.
 
Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -24
Basi nesi akanichukia sana akasema lazima atanikomesha ,kumbe yule nesi alikuwa anatembea na Dmo ,basi Mimi nikashangaa dmo akaanza kunibadilika

Basi baadae nikatolewa kwenye uongozi ,lakini pia nikaanza kupitia manyanyaso hapo kituoni

Mimi nilivyoona hali inakuwa ngumu ikabidi niende kwa dmo nikamuelezea changamoto ninazo pitia ,Aise hakuna kilichobadilika

Basi baadae nikasikia nataka kuhamishwa ,Kuna jambo nilifanya mpaka Leo najutia ,Kuna dili fulani viongozi walipiga akiwemo dmo ,Mimi kwa sababu ni assassin eagle niliiba zile documents ,wakati huyo napitia hizo changamoto mke wangu akawa amekuja kujifungua, aise hali ilikuwa mbaya nilikuwa Sina hata pesa

Diwani alikuwa ananikubali sana nikamshirikisha changamoto ninazopitia pia nikamdokeza Kuna documents za wizi ,diwan akasema nimpe hizo documents

Basi bana baadae kwenye vikao huko diwani akalipua Hilo bomu duh ,hakuna rangi niliacha kuona viongozi wote walinitenga ikiwemo mkurugenzi ,mpaka mkuu wa wilaya , mwenyekiti wa halmashauri

Basi bana ikaanza kusambaa taarifa kwamba Kuna wizi nimeufanya ,kwa kuwa nilikuwa Nina zile documents nikasema poa ,hapo wakinizingua hata mahakamani nitaenda

Baadae nilivyoona Mambo yanakuwa magumu ,nilikuwa Nina ujenzi sehemu niliyotaka kufanya ufugaji wa kuku na mbuzi ile nyumba ilikuwa bado haijaisha ikabid nikope ili niweze kuimaliza hiyo nyumba ,duh hili nalo ni shimo lingine nikaingia

Baadae nikafanikiwa kuimaliza ile nyumba ,unajua nilijua kinachofuata ni kufukuzwa pale kazini hivyo nilikuwa naandaa mazingira ya sehemu ya kukaa

Sasa hivi mtoto wetu ameshakuwa mkubwa ameanza kutembea ,wife akanipigia sehemu kwamba anahitaji kuachana ,nikamuuliza shida ni Nini mke wangu aise hakunielewa

Aise niliwaza sana unajua mke wangu Mimi ndio allikuwa Kila kitu kwangu ,nilimuamini mno sema changamoto tu za umbali

Nikajaribu kutafuta msaada kwa ndugu zake lakini hakuna ambae alitoa msaada

Basi Mimi nilikuwa mtu wa kupambana nikaona nitafute mbadala kumbe akili yangu haipo sawa ,Kuna demu fulani hivi nilimtongoza asubuhi jioni nikaenda kwao kwamba nataka kumuoa muda huo huo ,Sasa wale wazee wakaniona kama sipo sawa wakaniambia Rudi kesho

Aise nilishtuka baada ya wiki nikiwa hosptali ya milembe ,kumbe nilivyorudi nyumbani usiku wake nilichanganyikiwa ,nikaanza kutupia watu mawe mwisho wa siku nilipewa rufaa kwenda milembe

Baadae nimekuja kuzinduka wazazi wangu wapo pembeni na braza pia na wife ,basi tukapewa dawa pale tukaambiwa turudi nyumbani

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tabu Ninayopata kutoka kwenye familia yangu -25

Tulivyorudi nyumbani nikamueleza baba mwanzo wa matatizo yote ,nikamwambia baba ngoja tu nitafute mwanamke mwingine nioe ,baba akaniambia ngoja ataongea nae

Basi baadae baba akamuita tukaanza kuongea basi akaonekana ameelewa ,baadae nikaingia ndani kunywa dawa akanipa dawa vizuri nikameza

Baadae akaniambia naomba uoe mwanamke mwingine ili akusaidie si unaona unaumwa , akaniambia kwani tokea nimekwambia hivi hujawahi kufanya maandalizi ya kutafuta mtu ,nikamwambia nilitafuta lakini bado hajanielewa ,basi akaniomba namba ya simu ya huyo Dada wakaongea kwamba ameruhusu Mimi nimuoe ,yeye atakuwa mke mkubwa halafu mwenga atakuwa mke mdogo

Baadae alivyomaliza kuongea nae akanisisitiza kwamba nihakikishe naoa ,kesho yake akawa ameondoka kurudi kazini

Baadae Mimi nikamwambia baba uyu mwanamke naona hanitaki Tena ,basi yule mke wangu alikuwa anakaa na mtoto wa shangazi yake ,Sasa uyo binti akanipigia simu akaniambia yule Dada yake siku hizi anamtu waga anakuja kulala pale nyumbani aise niliumia sana

Basi baadae baba aliondoka Mimi nikabaki pale na braza na wale watoto wa Dada yangu ,baadae nikafanya process ya kumuoa yule mwanamke ,niliona nichague mtu ambae hajasoma

Bado ndoa changa nikapata uhamisho wa kuhamia wilaya ingine uhamisho kutoka kwa RAs ,basi mke wangu alivyosikia nimeoa ndio ikawa tiketi ya kuniacha

Akawaambia kwao kwamba amenikuta nimeshaoa ndio maana ameamua kuniacha ,kumbe ile kunilazimisha kuoa alitaka apate sababu ya kuniacha

Unajua Kuna kipindi kaka yangu mtoto wa mama mkubwa alijiua kwa sababu mke wake ambae alizaa nae watoto wawili alimkataa ,japo nilikuwa nahuzunika lakini nilikuwa nishangaa ni kwa Nini braza ajiue wakati wanawake wapo wengi

Aise usiombe ikakukuta yaani hauoni another option Zaid ya hiyo ya kujiua ,

Yule mwanamke niliemuoa alikuwa single mother wa watoto watatu ,nae sijui alikuwa na mental trauma alikuwa ni mkorofi sana anapenda kugombana yaani ukimkosea kidogo tayari makofi
Sasa nikaona uyu tunaweza Kuna kuumizana tulibahatika kupata nae mtoto mmoja wa kike ,lakini baadae ilibid niachane nae

Mwaka huu nimeoa mke mwingine naomba mungu sana anijaalie nidumu na uyu,

Baadae yule mke wangu wa kwanza alinitafuta na kuniomba msamaha ilikuwa bado sijaoa uyu wa tatu lakini nikaona haina haja ya kuwa na mtu asie na msimamo

Ndio maana nikaona nioe tu mtu mwingine

Sasa tabu ninazopata kutoka kwenye familia yangu ni ;-

1 wazazi na ndugu hawaniongelei vizuri pindi ninapo oa ,mke wa kwanza waliongea Mambo mengi sana hasa mama

2-hata ukitoa msaada hawathamini siku ukiombwa na ukawa huna basi ni maneno mabaya mabaya wanakuongelea

3- mama Sasa hivi ameshazeeka lakini bado anang'ang'ania kufanya zile shughuli za uvuvi Kila siku ni kupoteza pesa ,anahitaji nimnunulie mashine lakini Mimi naona ameshachoka halafu Kuna wadogo zangu wapo chuo nikinunua hiyo mashine nitashindwa kuwasapoti

4 - nimeoa mke wa tatu ,mama alitoa maneno mabaya sana but Sina Cha kufanya Zaid ya kumshukuru mungu

Kule nilipohamishwa nilitengeneza mazingira mazuri sana lengo langu ni kufungua kampuni
Ambayo itakuwa ina deals with

1 .Agroproduction (kilimo na ufugaji )
Yaani na Lima nafuga pia nakuwa na mashine za kusanga na kukoboa halafu nafunga kwenye viroba nauza

2.viwanda vidogo vidogo kama mikate na mashine ya kuprocesa ngozi

3.usagirishaji (magari ya abiria

4.duka la dawa , zahanati na maabara

5.maduka ya jumla

6 .magari ya mizigo

Naamini nitafanikiwa kwa sababu naona kabis siwezi kubadili maisha yangu kwa kazi za kuajiriwa Tena humu serikalini kulivyo na changamoto

Ndio hivyo ndugu zangu ,naombeni ushauri wenu nifanye Nini ili niweze kufikia malengo yangu

Dunia tunayoenda nayo ni ngumu sana

Mwisho

Pole sana .
Uko ulikohamia jitahidi utimize wajibu wako , usijipendekeze kwa watu wa kuitwa DMO au RMO watakupoteza maana kwa siku hizi vigezo hawapewi kwa kuzingatia utaratibu wa wizara ila imekuwa kama kujuana tu .

Hivyo kuna muda wanaendeshwa na mambo ya kisiasa na kijamii .

Mambo magumu ya nduguzo mbona ni mambo ya kawaida kwa sasa wewe ni mtu mzima wake watatu uliooa itoshe kusema kuwa hata kama ni mdogo wa umri ila tayari umepevuka sana hivyo naweza kusema hii dunia haina shukrani .

Usihangaike kufanya kitu kilicho nje ya uwezo wako wa mshahara na pia kilicho nje ya malengo yako .

Acha kukaa ukawaza ujinga na umbeya na unafiki wa nduguzo maana haukusaidii chochote wala hautakuonhezea cheo zaidi ni kukupa stress zaidi .

Daktari , sijaona sehemu uliposema unakunywa pombe usijaribu ila sasa daktari ukiendekeza huo ujinga wa kusikiliza nduguzo wanasema nini nakuona milembe tena sio kwenda na kurudi ila yakiwa makao yako rasmi .

Jipe raha fanya kilicho ndani ya uwezo wako achana na habari za ndugu .

Daktari ni ngumu kufanya haraka ila anza kwa kupunguza mawasiliano ya day to day na nduguzo mwisho utapuuza ujinga wao .

Usisahau umetoka familia ya kimasikini sana hivyo mawazo mgando hayajawahi kupotea kwa ndugu zetu masikini hasa kwa aliyeonesha mwanga wa kuukimbia umasikini .

Alafu najua kwenu sio wewe tu mwenye mwanga kidogo wa maisha wapo wengine baadhi hivyo punguza kupenda sifa ili labda wakuone una hela au una moyo mzuri maana haya ndiyo yatakuwa ni mwanzo wa lawama za nduguzo hasa ukikosa kuwapa msaada takiwa .

Jioni njema daktari , tafakari .
 
Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -22

Hiyo yote ilikuwa mpango wa yule mzee ,alipata wivu kuona nafanikiwa ,kwa siku nilikuwa naigiza mil 1,saa ingine laki 8,laki 6 ,biashara ikiwa mbaya sana laki 4 ,sababu vipimo vyote vilikuwepo hasa utrasound wamama walikuwa wanapenda sana ,kwa hiyo kwa mwezi mili 18 zilikuwa hazinipigi chenga ,ukitoa 3m ya mzee ,mil 6 za watumishi ,mil 2 bili mbali mbali umeme maji ,unakuta nabaki na mil 7 au 8 kwa mwezi,na hapo ni kama miezi 3 tu tokea mzee aniachie ,wakati yeye hata kulipa watumishi alikuwa hawezi

Nilitamani nikashtaki lakini namshukuru rafiki yangu akanishauri niache ni dili na kesi kwanza , akaniambia huyo mzee hutomuweza kwanza ana pesa ,Aise rafiki yangu mungu akuweke mahali pema peponi ulinisaidia Mambo mengi sana (tumemzika mwezi wa kwanza huyu jamaa )

Unajua pale nijitoa sana niliumiza kichwa na akili roho iliniuma sana ,nilikuwa nimeshafanikiwa kununua kiwanja chanika kama unaelekea mvuti hapo katikati

Aise sikuwa na hamu nilichoka sana ukitegemea hapo Nina kesi mahakamani ,wakati Niko pale mbezi Kuna mma mmoja alikuja amekwama na mfupa wa samaki kwenye Koo ,Sasa nilimtolea simple tu mpaka akashangaa ,Sasa yule mama alikuwa yupo vizuri, sema ukweli nilimpenda sana ,nikawa nimemuaproch ,mama akasema Mimi nakukubali sana harakati zako lakini Mimi ni mkubwa sana kwako yaani hulingani hata na mwanangu wa mwisho , akaniambia ww endelea kuwa jamaa yangu tu wa kawaida ila kwenye mapenzi hapana

Basi nilivyopata Yale matatizo nikawa nimemueleza huyo mama ,yule mama akanipa namba ya rafiki yake akaniambia nimuone atanisaidia ,basi Mimi nikamtafuta yule rafiki yake ,basi huyo rafiki akaniambia nimfuate sehemu fulani hiv kama unaelekea uwanja wa taifa kulikuwa Kuna nyumba fulani kulikuwa Kuna watu wanafanya meditation basi nikaenda kumuona halafu nikamsimulia kisa changu

Basi yule rafiki wa rafiki yangu tumuite mama Tina ,mama Tina akaniambia ni vizuri tutafute njia nzuri ya kumaliza hii kesi tukisema tupambane hapa utaumia muda na pesa vitapotea ,hapa njia ambayo inabid tuitumie wewe nipe namba zake Mimi nitamtafuta huyo Dada ,basi nikampa namba

Akawa ameenda kumtembelea nyumbani kwake akamkuta na mume wake wakaongea , nashukuru sana yule mume wake alikuwa muelewa sababu alikuwa anajua kabisa kesi ni ya kusingiziwa ,basi waka taka pesa fulani hiv ili waweze kufuta kesi

Basi fedha zilitoka mwisho wa siku tuliweza kumaliza kesi ,mungu akibariki popote ulipo mama Tina (najua ukisoma uzi huu utakumbuka ) ulinisaidia kama ndugu yako na sikukulipa chochote

Basi Mimi niliendelea kufanya kazi kinondoni lakini nilikuwa na msongo wa mawazo ,baada kama ya wiki mbili hiv ajira za makufuli zikatoka kipindi kile aliajiri watu wengi sana wa afya Mimi pia nilikuwepo na mke wangu ila tulipangwa mikoa tofauti

Sema ukweli sikupenda ajira za serikali lakini niliona ngoja nikapumzikie huko ,basi tuliajiliwa lakini mikoa tofauti na mke wangu

Basi baada ya kuripoti basi tukarudi kufunga mizigo then tukaanza kufanya kazi rasmi ,aise tulipangwa sehemu nzuri japo nikijijini lakini mzunguko wa pesa ulikuwepo mkubwa has a sehemu niliyopanga Mimi

Basi tutaendelea na kazi ,Sasa mimi nilibakiwa na tupesa pesa kidogo nilikuwa kama na mil 12 ,nikaona niwekeze kule kijijini kilimo pamoja na ufugaji ulikuwa unalipa sana

Nyumbani kulikuwa na Dada yangu amezaa watoto 6 single mother halafu wababa tofauti ,njia ya kumsaidia nikaona nimpe mtaji mkubwa tu nilipa halafu nikachukua watoto wake wanne na pamoja na mfanyakazi wa kuwalea

Aise kazi ya kulea isikie tu kwa majirani

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Watoto wanne mamaaaaeee hii huruma sina mie
 
Story yako inahuzunisha ila pia inamafundisho sana.Ila kilichokuja kukuangusha ni mahusiano(wanawake).Pole sana.
Wewe ni mpambanaji sanaaa.
Ushauri wangu uko ulikohamia angalia fursa ya biashara ya fani yako,Kwa sababu kupitia story yako unaifanya vizuri sana,deal with your passion.Kikubwa kuliko yote jifunze kuwa na Ibada zaidi,vita yako sio ndogo hata kidogo.Songa Mbele focus.Kuhusu mama yako msaidie tu anachotaka,opinion za ndugu zako zisikilize ila usizipe nafasi ya kutawala maamuzi yako,chagua mazuri ufate na mabaya achana nayo.

It is there opinions huwezi zuia.All the best ukafanikiwe zaidi.
 
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwa adamu. Kama sijakosea wazungu husema kisichoweza kukuua kinakuimarisha...
 
Tabu Ninayopata kutoka kwenye familia yangu -25

Tulivyorudi nyumbani nikamueleza baba mwanzo wa matatizo yote ,nikamwambia baba ngoja tu nitafute mwanamke mwingine nioe ,baba akaniambia ngoja ataongea nae

Basi baadae baba akamuita tukaanza kuongea basi akaonekana ameelewa ,baadae nikaingia ndani kunywa dawa akanipa dawa vizuri nikameza

Baadae akaniambia naomba uoe mwanamke mwingine ili akusaidie si unaona unaumwa , akaniambia kwani tokea nimekwambia hivi hujawahi kufanya maandalizi ya kutafuta mtu ,nikamwambia nilitafuta lakini bado hajanielewa ,basi akaniomba namba ya simu ya huyo Dada wakaongea kwamba ameruhusu Mimi nimuoe ,yeye atakuwa mke mkubwa halafu mwenga atakuwa mke mdogo

Baadae alivyomaliza kuongea nae akanisisitiza kwamba nihakikishe naoa ,kesho yake akawa ameondoka kurudi kazini

Baadae Mimi nikamwambia baba uyu mwanamke naona hanitaki Tena ,basi yule mke wangu alikuwa anakaa na mtoto wa shangazi yake ,Sasa uyo binti akanipigia simu akaniambia yule Dada yake siku hizi anamtu waga anakuja kulala pale nyumbani aise niliumia sana

Basi baadae baba aliondoka Mimi nikabaki pale na braza na wale watoto wa Dada yangu ,baadae nikafanya process ya kumuoa yule mwanamke ,niliona nichague mtu ambae hajasoma

Bado ndoa changa nikapata uhamisho wa kuhamia wilaya ingine uhamisho kutoka kwa RAs ,basi mke wangu alivyosikia nimeoa ndio ikawa tiketi ya kuniacha

Akawaambia kwao kwamba amenikuta nimeshaoa ndio maana ameamua kuniacha ,kumbe ile kunilazimisha kuoa alitaka apate sababu ya kuniacha

Unajua Kuna kipindi kaka yangu mtoto wa mama mkubwa alijiua kwa sababu mke wake ambae alizaa nae watoto wawili alimkataa ,japo nilikuwa nahuzunika lakini nilikuwa nishangaa ni kwa Nini braza ajiue wakati wanawake wapo wengi

Aise usiombe ikakukuta yaani hauoni another option Zaid ya hiyo ya kujiua ,

Yule mwanamke niliemuoa alikuwa single mother wa watoto watatu ,nae sijui alikuwa na mental trauma alikuwa ni mkorofi sana anapenda kugombana yaani ukimkosea kidogo tayari makofi
Sasa nikaona uyu tunaweza Kuna kuumizana tulibahatika kupata nae mtoto mmoja wa kike ,lakini baadae ilibid niachane nae

Mwaka huu nimeoa mke mwingine naomba mungu sana anijaalie nidumu na uyu,

Baadae yule mke wangu wa kwanza alinitafuta na kuniomba msamaha ilikuwa bado sijaoa uyu wa tatu lakini nikaona haina haja ya kuwa na mtu asie na msimamo

Ndio maana nikaona nioe tu mtu mwingine

Sasa tabu ninazopata kutoka kwenye familia yangu ni ;-

1 wazazi na ndugu hawaniongelei vizuri pindi ninapo oa ,mke wa kwanza waliongea Mambo mengi sana hasa mama

2-hata ukitoa msaada hawathamini siku ukiombwa na ukawa huna basi ni maneno mabaya mabaya wanakuongelea

3- mama Sasa hivi ameshazeeka lakini bado anang'ang'ania kufanya zile shughuli za uvuvi Kila siku ni kupoteza pesa ,anahitaji nimnunulie mashine lakini Mimi naona ameshachoka halafu Kuna wadogo zangu wapo chuo nikinunua hiyo mashine nitashindwa kuwasapoti

4 - nimeoa mke wa tatu ,mama alitoa maneno mabaya sana but Sina Cha kufanya Zaid ya kumshukuru mungu

Kule nilipohamishwa nilitengeneza mazingira mazuri sana lengo langu ni kufungua kampuni
Ambayo itakuwa ina deals with

1 .Agroproduction (kilimo na ufugaji )
Yaani na Lima nafuga pia nakuwa na mashine za kusanga na kukoboa halafu nafunga kwenye viroba nauza

2.viwanda vidogo vidogo kama mikate na mashine ya kuprocesa ngozi

3.usagirishaji (magari ya abiria

4.duka la dawa , zahanati na maabara

5.maduka ya jumla

6 .magari ya mizigo

Naamini nitafanikiwa kwa sababu naona kabis siwezi kubadili maisha yangu kwa kazi za kuajiriwa Tena humu serikalini kulivyo na changamoto

Ndio hivyo ndugu zangu ,naombeni ushauri wenu nifanye Nini ili niweze kufikia malengo yangu

Dunia tunayoenda nayo ni ngumu sana

Mwisho

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Unaona sifa mwenyewe kuoa ovyo ovyo
 
Back
Top Bottom