Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

Ningekuwa nimeachwa kule bila kuhamishwa ningekuwa mbali sana ,hivyo serikalini sio sehemu salama lolote linaweza kukuta wakati wowote

Kule ilifikia hatua nilikuwa sitoi mshahara kwa Sababu ya matumizi vyakula ,na matumizi madogo madogo nilikuwa napata kwenye kilimo na ufugaji ,nilikuwa nimeshafikia hatua ya kuwauzia mayai wakaanga chipsi

Sasa nilipohamia ni kugumu hatari ,chakula vya kuku Bei kubwa halafu kuku hawana Bei ukitaka kuwauza kwa Bei mpaka usafirishe

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu biashara safi sana,ila ngeshauri uanze na moja kwanza isimame,tena fungua dispensary/pharmacy maana unauzoefu nayo sana.

Ndugu zako wasikuumize kichwa,kama mabaya wacha waongee hupungukiwi kitu,ukiweza saidia mkono wako unapofika,usijiumize ndo maana hadi unachanganyikiwa.

Ushauri muhimu kuliko wote,huyo mke wako wa kwanza ni mpuuuzi ni mpuuuzi sana,nakuomba tena sana asikuone ndezi,usije ukarudiana nae,mtupe mtupe kabisa.

Ni hayo tu.
 
Nje ya box;
mkuu nahisi wewe una matatizo ndiyo maana hao wanawake wawili mmeshindwana bila sababu za msingi kuwa makini na ujirekebishe hata huyo watatu angalia sana.Yawezekana una matatizo fulani kwa vyovyote hutayazungumza hapa.
 
Asante kwa ushauri ,nashukuru sana

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Nje ya box;
mkuu nahisi wewe una matatizo ndiyo maana hao wanawake wawili mmeshindwana bila sababu za msingi kuwa makini na ujirekebishe hata huyo watatu angalia sana.Yawezekana una matatizo fulani kwa vyovyote hutayazungumza hapa.
Matatizo yangu Mimi ni mpole sana ,napenda kumpa mwanamke wangu nafasi ya kufanya Mambo ,siwezi kutoa pesa ya matumiz Kila siku ,waga natoa pesa fulani laki au laki mbili anatumia ikiisha ananiambia ,mke yule wa pili alianza mtindo wa vikoba na kutuma nyumbani kwao pesa ,Sasa baadae hali yangu ya fedha ikayumba ,Mimi najua pesa nyumbani ipo kumbe hakuna kitu ,tumeachana lakin aliniachia madeni mengi sana ,ambayo nimemaliza kulipa juzi juzi tu hapa

Akinishida uyu wa Sasa hivi sioi Tena nitaish maisha yangu kivyangu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hizo biashara ukiwa serikalini zina majungu sana ,kule nilikuwa sifanyi lakini nikasingiziwa naiba dawa ,je nikifanya itakuwaje

Tafuta mtu utakaye muamini umuweke, majungu kwa wabongo ni kawaida.

Usifikiri mtu atapenda mafanikio yako,gata usipofanya watapiga tu majungu.
 
Amina ,Asante

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nakushauri urudi milembe kwanza wakutibu vizuri inaonekana kama umekimbia kabla ya kumaliza tiba kamili. Sababu ya kusema hivi kutokana na maamuzi yako ya kuowa bila ya mpango na kuwa na wasiwasi wa kusemwa na ndugu. Kila jema mkuu kaza buti funga mkanda pambana na maisha.
 
Nina miaka miwili inaelekea mwaka wa tatu sijawahi kutokewa Tena na hiyo hali ,Sasa hivi nimeacha kuish kwa stress

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ulikua watumia pombe??
 
Nina miaka miwili inaelekea mwaka wa tatu sijawahi kutokewa Tena na hiyo hali ,Sasa hivi nimeacha kuish kwa stress

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Samahani mkuu nataka kuelewa vizuri unataka msaada wa ushauri wa nini??
1 Ushauri wa maisha
2 Biashara
3 Mke (ex wako)
3 Kilimo
4 Ajira binafsi au Serikalini
5 Wazee na ndugu kukusema???
 
Nduguyangu,mm mwenyewe ni Dr.kama ww hapo nanipo serikalini,,napia natokea hukohuko kanda ya ziwa,ushauri wangu mkuu,nikua kwanza pole kwa changamoto nyingi sana,kingine nikua malengo yako uliyoyaorodhesha hapo nimengi,mazuri nayenye kukukwamua kimaisha nakua mtu mwenye mafanikio,ila ningumu snaa narudia tena ningumu mno kuyatekeleza ukiwa umeajiriwa ktk hizi ajira zetu za serikali cjajua utachanga vipi karata zako hadi ufanikiwe kuwa mfanya biashara wa ku-run hizo business at the same time ukiwa muajiriwa wa serikalini kwenye changamoto lukuki,nakusihi jaribu kuacha kazi baada ya kua umepata mtaji either kwa kukopa then fanya mradi kama ulivyokua unafanya kule dar kabla hujaajilwa serikalini hapo unaweza kuadvance kabla hujawa mzee,naimani naww nikijana wa below40 tu.nawasilisha!!!!
 
Ndugu na wanawake ndo wanakurudisha nyuma

Usiwape kipaumbele maana binadamu hajawahi kuridhika hata ufanye nini..so focus on yourself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…