Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika dunia hii usije fikiri kwenye nyumba za ibada iwe kanisani au msikitini utapata msaada.Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu-6
Matekeo yalitoka nikawa nimepata division 4 ya 26 ,kwa kweli niliumia sana sababu matarajio yangu nilitaka kwenda chuo Cha ufundi mbeya kinaitwa Mistry kwa hiyo kwa matokeo hayo nisingeweza kuchagulia ,baadae ikabidi nirudi kule visiwani kufanya kazi ndogondogo ,mama yangu afya yake nae ilikuwa imeshakuwa sawa baadae muda wa ku apply vyuo ulivyofika nilikuwa na pesa ya mama kama laki 8 hiv ,nikaenda kuomba chuo fulani Cha afya kozi ya utabibu sababu mama alikataa kabisa kunisomesha ,Mimi nikaona niingie hivyo hivyo kibabe ,nilivyoanza chuo nikawa napita kwenye misikiti kuomba msaada wa kusomeshwa ,nilitembea sana lakini sikubahatika kupata msaada baadae nikarudishwa nyumbani kwa sababu ya ada, nikarudi kwa mama
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Haujui maana ya maisha. Kila mtu anaangalia upande wake unaofaa.Mtu mzima unalia kuteswa na familia yako si uondoke tu waachie familia yako.
Vijana waliozaliwa miaka ya 80 hawana akili kama hizi zako.
assassin eagle shusha vitu. Akija Watu8 akute mzigo umefika mwisho
Yule mwanamke uliyemtoa bikira bado unaye?Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -12
Nilipiga kazi mpaka asubuhi ,nilikuja kutolewa na Dr mwingine japo yule aliyenipa mchongo nilichukua namba zake ili ikitokea chance anishtue
Sikuona haja ya kurudi mkuranga niliona niendelee kutafuta kazi halafu jioni ndio nitarudi mkuranga ,basi katika pitapita zangu nikajikuta sehemu moja inaitwa tandika zahanati inaitwa afya Bora kama sijasahau ,nilifika pale nikamkuta Dr ,Dr wa pale alikuwa mkarimu sana tuliongea mengi akasema wanampango wa kuajili mtu hivi karibuni hivyo niache cv zangu watanitafuta watakapohitaji kuongeza mtu
Basi nilitembea tembea ila kulikuwa hakuna Cha maana ,ilivyofika jioni nikarudi zangu mkuranga ,nilivyofika kwa juma nilimkuta mke wake jamaa alikuwa ametoka ,nikachukua funguo za getoni kwangu
Kufika geto nguo zimetawanywa halafu kulikuwa na viatu vyangu fulani hivi sikuvikuta ,nishangaa mbona nimekuta geto limefungwa fresh tu ,basi nikapanga nguo zangu nikabaini Kuna baadhi ya nguo hazipo
Basi baadae nikaenda kwa jamaa kwa ajili ya chakula Cha jioni ,baada ya muda jamaa yangu akawa amekuja kavaa vile viatu na nguo zangu
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kwa swali lako inabid inabidi niweke muendelezo kidogo ili uelewe vizurYule mwanamke uliyemtoa bikira bado unaye?
Asante
Nmeweka kituo hapaa......!!!Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -13
Nilimuangalia jamaa ikabidi nitulie tu sababu msosi wenyewe napata kwake ,nilishindwa hata kuongea nikawa nimetulia tu ,kati ya vitu nisivyovipenda ni pamoja na kuvaliana nguo ,jamaa alikuja halafu amelowa chakali ,yule mchumba wangu bado tulikuwa tunawasiliana yeye alikuwa amepata kisehemu anasimamia ila ilikuwa kijijini sana
Basi kukakucha nikapanda gali kuja dar kuendelea na kazi yangu ya kutafuta kazi ,safari hii nikishukia kinondoni studio ,nikatembea tembea nikatokea mwananyara sehemu moja inaitwa vijana kulikuwa Kuna zahanati pale mkono wa kushoto nikaenda pale kuomba kazi
Nikafika ndani Kuna Dr nilimkuta nikaomba kazi jamaa nae akaniomba kazi akaniambia pale yupo tu lakini hakusomeki ,tumuite Dr Michael ,basi tulibadilishana namba za simu Mimi nikaendelea kutafuta kazi
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Numbisa ShunieTabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -12
Nilipiga kazi mpaka asubuhi ,nilikuja kutolewa na Dr mwingine japo yule aliyenipa mchongo nilichukua namba zake ili ikitokea chance anishtue
Sikuona haja ya kurudi mkuranga niliona niendelee kutafuta kazi halafu jioni ndio nitarudi mkuranga ,basi katika pitapita zangu nikajikuta sehemu moja inaitwa tandika zahanati inaitwa afya Bora kama sijasahau ,nilifika pale nikamkuta Dr ,Dr wa pale alikuwa mkarimu sana tuliongea mengi akasema wanampango wa kuajili mtu hivi karibuni hivyo niache cv zangu watanitafuta watakapohitaji kuongeza mtu
Basi nilitembea tembea ila kulikuwa hakuna Cha maana ,ilivyofika jioni nikarudi zangu mkuranga ,nilivyofika kwa juma nilimkuta mke wake jamaa alikuwa ametoka ,nikachukua funguo za getoni kwangu
Kufika geto nguo zimetawanywa halafu kulikuwa na viatu vyangu fulani hivi sikuvikuta ,nishangaa mbona nimekuta geto limefungwa fresh tu ,basi nikapanga nguo zangu nikabaini Kuna baadhi ya nguo hazipo
Basi baadae nikaenda kwa jamaa kwa ajili ya chakula Cha jioni ,baada ya muda jamaa yangu akawa amekuja kavaa vile viatu na nguo zangu
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
WaiiiBasi baadae nikaenda kwa jamaa kwa ajili ya chakula Cha jioni ,baada ya muda jamaa yangu akawa amekuja kavaa vile viatu na nguo zangu
Kataa dini. Ni utapeli. Au sio Mkuu?Katika dunia hii usije fikiri kwenye nyumba za ibada iwe kanisani au msikitini utapata msaada.
Unaweza kusaidiwa na malaya, mlevi au jambazi kuliko hawa watu wanaojifanya wanamuabudu Mungu.
Watakuambia njoo kwenye dini ya haki. Mimi huwa nawajibu, kama wanagawa hela nitakuja.
Dini ni utapeli. Kama unabisha, tembea msikitini au kanisani ukaombe msaada. Hawawezi kukusaidia
Mkuu unataka kusema hii nayo ni episode siyo...Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -13
Nilimuangalia jamaa ikabidi nitulie tu sababu msosi wenyewe napata kwake ,nilishindwa hata kuongea nikawa nimetulia tu ,kati ya vitu nisivyovipenda ni pamoja na kuvaliana nguo ,jamaa alikuja halafu amelowa chakali ,yule mchumba wangu bado tulikuwa tunawasiliana yeye alikuwa amepata kisehemu anasimamia ila ilikuwa kijijini sana
Basi kukakucha nikapanda gali kuja dar kuendelea na kazi yangu ya kutafuta kazi ,safari hii nikishukia kinondoni studio ,nikatembea tembea nikatokea mwananyara sehemu moja inaitwa vijana kulikuwa Kuna zahanati pale mkono wa kushoto nikaenda pale kuomba kazi
Nikafika ndani Kuna Dr nilimkuta nikaomba kazi jamaa nae akaniomba kazi akaniambia pale yupo tu lakini hakusomeki ,tumuite Dr Michael ,basi tulibadilishana namba za simu Mimi nikaendelea kutafuta kazi
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Mwandishi bado anauchungu wa aliypitia. Anaandika huku ana majonzi 😅😅😅😅😅Hahahah...nimeibuka kabla jamaa hajamaliza...ngoja niiweke kiporo kwanza ijae jae