TAESA, naombanipate mtu wa kunitafuta nafasi ya intern

TAESA, naombanipate mtu wa kunitafuta nafasi ya intern

Exformer

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2018
Posts
863
Reaction score
1,003
Wazima huku ndani maisha ya mtaani ni kupambana sana ndio, kwa hapa nilipofikia naomba hata itokee nafasi ya kupata intern iwe taesa ama wapi

Kwa taifa nishafanya kila kitu chao kuanzia training mpaka interview.

Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia huko taesa tufahamiane
 
Back
Top Bottom