Samia amekosa kabisa mbinu za kuliongoza taifa, practically kwa sasa ameamua kukaa kimya, kila mwenye la kusema amsaidie kusema ili kumpunguzia mzigo wa tatizo alilotengeneza kwa ukaidi wake.
Bahati mbaya hawa anaowaacha waseme ilimradi kumtetea, sasa ndio wanazidi kulifanya tatizo liwe kubwa, kwasababu wanaropoka kwa namna ya hovyo isiyo na staha kwa wale wanaowasema, matokeo yake hali ya Samia ndio inazidi kuwa mbaya.