Tafadhali dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa tu Onana wa Simba SC aachwe na ikiwezekana hata na Baleke pia

Tafadhali dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa tu Onana wa Simba SC aachwe na ikiwezekana hata na Baleke pia

Saido ni mchezaji Mzuri sana. Lakini Hana faida Tena

YANGA wamepoka mpira wake.

Aliacha jezi na Soksi yanga wamemroga.

(Atafutwe no 10 mwingine Simba)

SIMBA INASHIRIKI SUPER CUP TENA MWAKANI NA INAWEZA IKALAMBA TENA BILIONI 5.

ILI UWE NA TIMU SHINDANI WOTE NILIOWATAJA HAPO LAZIMA WAACHWE.
saidoo ni umri ushaenda
 
Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu Kubwa na inayohitaji Matokeo ya haraka kama ya Simba SC.

Cha muhimu na kipekee alichonacho Onana ni zile Rasta zake za Kishamba alizopaka Rangi ya Nyumba na Hereni zake kama za Madenu zangu ninaowabandua Kutwa ila kuhusu Mpira hana Kitu na hapa wana Simba SC kama ambavyo tunawacheka Watani zetu Yanga SC kuwa wameliwa kwa akina Hafidh Konkon na Skudu Makudubela basi hata na Sisi Simba SC tusikatae kuwa nasi kwa Onana na Kram ( tunayemtetea kuwa ni Majeruhi ) nasi tumeliwa vile vile.

Na kama GENTAMYCINE nikiulizwa ni Wachezaji gani ninapendekeza wawe wa Kwanza Kuachwa na Simba SC Dirisha Dogo la Usajili la January kwa Kunikera Kwao na kwa Viwango vyao kuwa Chini na hawana msaada kwa Simba SC yetu nitapendekeza Leandre Wilson Onana na Jean Othos Baleke.

Waachwe tu upesi hawaisaidii Timu.
Zumbukuku
 
Back
Top Bottom