Tafadhali, Gwajima asijibiwe, kufanya hivyo, ni kumpa ruksa ya kusema hata ya siri zaidi, mtapoteana

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Gwajima asijibiwe, atachafua mno hali ya hewa

Kama mnakumbuka kipindi cha sakata la mzee Lowasa, mtakubaliana na mimi kuwa yule mtu hana woga

Nimewahi kumsikia mara nyingi akitamka
Yeye haogopi, maana yeye ni mtu mwenye uraia pacha,

Yaani wa Duniani na wa mbinguni na yupo tayari kutumikia uraia wake huo kwa muda wowote iwe kwa hiati ama vinginevyo

Sasa uchaguzi ni kwenu, mmpole uraia wa Duniani akaishi uraia wa Mbinguni au laa!

Ila nawahakikishia, yule baba haogopi kuanika maovu, na huanika hayo akiwa na maana ya Tanzania kwanza mengine nyuma
 
Ccm oyeeeeee..CCM kufa na ufe Leo?!!!!! Unajufaaaaaa!!!!! Yaaan CCM watapiga yeyote MBELE Yao.. wakijua wanamaliza kumbe Kuna watz
 
Gwajima asijibiwe, atachafua mno hali ya hewa

Kama mnakumbuka kipindi cha sakata la mzee Lowasa, mtakubaliana na mimi kuwa yule mtu hana woga

Nimewahi kumsikia mara nyingi akitamka
Yeye haogopi, maana yeye ni mtu mwenye uraia pacha,

Yaani wa Duniani na wa mbinguni na yupo tayari kutumikia uraia wake huo kwa muda wowote iwe kwa hiati ama vinginevyo

Sasa uchaguzi ni kwenu, mmpole uraia wa Duniani akaishi uraia wa Mbinguni au laa!

Ila nawahakikishia, yule baba haogopi kuanika maovu, na huanika hayo akiwa na maana ya Tanzania kwanza mengine nyuma
Ameliamsha dude
 
Uko sahihi. Na jana kasema wakijibu atarudi
 
Back
Top Bottom