Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

Status
Not open for further replies.
Kuuliza sio ujinga. Hiyo vd lottery ni kitu gani? Nimejaribu kuconnect dots naishia katikati.
Google.com
 
All the best ukifanikiwa ulete mrejesho mi kuna waliotoka mbelez waliporejewa walikuwa wamechoka Sana tu.
 
Kuuliza sio ujinga. Hiyo vd lottery ni kitu gani? Nimejaribu kuconnect dots naishia katikati.

Kila mwaka Serikali ya Marekani inatoa bahati na sibu kwa njia ya mtandao. Raia 50,000 wa nchi kadhaa ikiwemo Tanzania, wanaweza kucheza hio bahati kwa kujiandikisha katika mtandao wao.

Huhitaji malipo ila uwe na elimu ya sekondari. Ukishinda, unapewa viza ya kuishi Marekani (green card).

Electronic Diversity Visa Lottery

https://travel.state.gov/content/da...ranslations/DV-2017 Instructions and FAQs.pdf

Katika tovuti hiyo ya juu, unakuta maelezo zaidi jinsi ya kujiandikisha.
 
Asante..
Kuuliza si ujinga,nilikuwa sifahamu mengi kuhusu marekani zaidi ya kuona kwenye picha na kusikia wabongo wakipondea life la huko,nikapata wasiwasi
Mimi ni mchapa kazi haswa as long as pesa inapatikana na kazi zipo za kutosha
 
Asume kama angekuwa mfanyakazi serikalini au private sector ungemshaulije ? Akache hizo kazi hapa bongo au aende US?
 
Nimechaguliwa tayari ,natakiwa niendelee na Hatua zinazofuata ili kupata visa
Hiyo ni kama kuamua kwenda mkoa mwingine kuangalia fursa, usiiache, kama nambo hayataeleweka rudi Tz uendelee na biashara yako. Usiiuze nyumba wala kuiua biashara yako, kwani Tz itaendelea kuwa nyumbani, na US kuna fursa nyingi, bora hasa elimu/afya/bidhaa kwa ajili yako, mke wako na watoto.
 
Other than Chilli's, and McDonald's, what high quality restaurants can one go to in your city?

You are funny. Do you really consider Mickey D's to be a high quality eatery?

Ever been to Chops and Lobster?



Ever been to the Cabernet steakhouse?




Ever been to Chama Gaucha? Del Frisco's grille? Ruth's Chris?

Hahahaaaa me and you may be on very different levels....I'll leave it at that.
 
Asante..
Kuuliza si ujinga,nilikuwa sifahamu mengi kuhusu marekani zaidi ya kuona kwenye picha na kusikia wabongo wakipondea life la huko,nikapata wasiwasi
Mimi ni mchapa kazi haswa as long as pesa inapatikana na kazi zipo za kutosha
Pesa kibao.. Ni nguvu yako halafu Wewe ukiingia unakuwa ready made nikiwa Na maana Huna pingamizi lolote ktk kutafuta Kazi kwa sababu utakuwa na vibali vyote halali vya kuishi. Ukiwa mchapakazi utapata mshahara hata kumshinda mbunge bongo.. Wale wanaopata shida huku wengi wao mapepa Yao Ya hapa figisu figisu ndiyo maana inakuwa ngoma.. Mwanzo utakuwa mgumu kidogo kusettle kimazingira na mabadikiko kawaida Ya kimaisha, lakini baada ya mwaka unapeta. Mkeo na Waache kwanza ili ukajiandae halafu baada ya mwaka unawavuta. Ingia vitani mjomba
 
Omba Tz
 
All the best ukifanikiwa ulete mrejesho mi kuna waliotoka mbelez waliporejewa walikuwa wamechoka Sana tu.

Kama huna elimu bora Marekani, kazi ni tabu sana. Kama umesoma vizuri, hasa vyuo vya Marekani na una digrii inayohitajika, kazi zipo nyingi tu.

Warusi, Wayahudi na Wahindi wanakuja kila siku California. Hawakosi kazi kwa sababu wamesomea Marekani (Ph.D level) somo linalohitajika katika uchumi wao kama Robotics, PC programming, AI, finance, mathematics , medicine na kadhalika.
Kama umesoma masomo yaliyopitwa na wakati, usitegemee kupata kazi rahisi katika nchi inayokaribisha wageni Milioni moja kwa mwaka.
 
Kutoka Tanzania kwenda tu nchi yoyote nje ya hapa kasoro Congo, Somalia na Syria ni NEEMA

Kutoka Tz kwenda USA ni BARAKA

hali ngumu ya maisha ukiwa USA kamwe haiwezi kufanana na hii hapa nusu Jehanum.
 
Kutoka Tanzania kwenda tu nchi yoyote nje ya hapa kasoro Congo, Somalia na Syria ni NEEMA

Kutoka Tz kwenda USA ni BARAKA

hali ngumu ya maisha ukiwa USA kamwe haiwezi kufanana na hii hapa nusu Jehanum.

Marekani hata kama mtu huna elimu ya juu, ukiwa mchapaka kazi na mwenye nidhamu basi utafanikiwa tu.

Fursa zipo nyingi mno.
 

I doubt it, homes. I was just kidding with you. You gotta be a fool if you don't know MikiD's is junk food.

But I know one thing, there ain't better service, better food in the world than in Tokyo.

There is this brewery I go to where I can drink the freshest craft beer on tap.






America has good restaurants but Japan has better restaurants and more higher quality ones. I don't need Michelin stars to make my point.

And waiters get paid so well that customers don't have to tip!
 
Of course mbwembwe zinahitaji pesa sehemu yoyote duniani, that's given. Sema watu wengi wanajitutumua wakati uwezo hawana. Kama unazo fedha za kufanya mbwembwe, why not? Lakini bado naamini Marekani kuna fursa nyingi zaidi ya bongo. Huyo kaka anaonekana mchapa kazi, I believe he will be more than fine, asiishi tuu above his means, and he will be fine.
 
Shukrani mkuu
 
Acha hizo.. Usimkatishe mtu tamaa! Hao wenye elimu bongo wanaomaliza vyuoni kila siku Kazi wanazo? Kama Huna elimu Marekani unaingia nguvu Kazi Ya construction mpunga Wa kumwaga Na baada ya miaka 5 uko mbali. Kazi kibao Marekani, kila mtu na nafasi yake.. Aliye na elimu na asiye na elimu.. Ukiwa mvivu usije huku kaa huko huko bongo kwa maskini,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…