Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

Status
Not open for further replies.
I doubt it, homes. I was just kidding with you. You gotta be a fool if you don't know MikiD's is junk food.

But I know one thing, there ain't better service, better food in the world than in Tokyo.

There is this brewery I go to where I can drink the freshest craft beer on tap.

d2af3a3c6b06e2e2d71629c04bf6efac.jpg

777746f52a6d3a5de3f9bbf43b311751.jpg

America has good restaurants but Japan has better restaurants and more higher quality ones. I don't need Michelin stars to make my point.

And waiters get paid so well that customers don't have to tip!
Okay then...more power to Nippon.
 
Acha hizo.. Usimkatishe mtu tamaa! Hao wenye elimu bongo wanaomaliza vyuoni kila siku Kazi wanazo? Kama Huna elimu Marekani unaingia nguvu Kazi Ya construction mpunga Wa kumwaga Na baada ya miaka 5 uko mbali. Kazi kibao Marekani, kila mtu na nafasi yake.. Aliye na elimu na asiye na elimu.. Ukiwa mvivu usije huku kaa huko huko bongo kwa maskini,
Right on.

Marekani si lazima uwe na elimu kubwa.

Cha muhimu kuliko vyote ni bidii ya uchapakazi na nidhamu ya hali ya juu.

Ukiwa na hizo sifa utafanikiwa tu.
 
Acha hizo.. Usimkatishe mtu tamaa! Hao wenye elimu bongo wanaomaliza vyuoni kila siku Kazi wanazo? Kama Huna elimu Marekani unaingia nguvu Kazi Ya construction mpunga Wa kumwaga Na baada ya miaka 5 uko mbali. Kazi kibao Marekani, kila mtu na nafasi yake.. Aliye na elimu na asiye na elimu.. Ukiwa mvivu usije huku kaa huko huko bongo kwa maskini,
Mi napiga kazi mpaka hapa nilipo na elimu sijawahi kuajiriwa nimepambana kivyangu na pia sio mtu wa starehe sijui kunywa pombe hapana walk sina ubishoo wa kwenda na fashion,nashukuru pia mke wangu ni mtu wa kazi sio sistaduu
 
Kwa hiyo mkuu unafikiria ukienda huko maisha yatakuwa kama unavyofikiria ,yaani overnight tu mambo yanabadilika ? Huko hamna hasara sio ? Ni faida tu ? Wewe kama umeweza kuweka misingi yako vizuri Tanzania endelea kupambana mambo yatakaa sawa na badala ya kwenda kubeba box Marekani utakuwa unaenda Hawii kila mwisho wa mwaka kupeleka familia kupumizka
Acha kumpotosha mwenzio wewe.....
 
Naomba kuuliza kwa niaba ya mke wangu..huko amerika biashara ya African print inalipa,anapenda sana kujifunza kushona vitenge n.k
 
Naomba Msaada kwa wenu kwa wale wenye uzoefu na hili jambo,
Nimeshinda iyo dv lottery 2016/2017 nilichaguliwa kwenye second selection September,
Sasa Nipo njia panda niendelee na process au nipotezee,nasikia maisha ya marekani magumu sio kama zamani na Kazi pia hazipatikani kirahisi, naogopa nisije kujuta .. Nina miaka 32 ,nimeoa na Nina mtoto mmoja 3yrs old,Nina biashara na nimefanikiwa kujenga nyumba.
Na sasa maisha bongo ndo yanazidi kuwa magumu na biashara pia ngumu,naombeni ufafanuzi kuhusu maisha ya marekani,.
Nahitaji kufanya maamuzi yaliyo sahihi..
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU .
Kwa miaka yako naona ui pursue hiyo chance. ..good luck. .
 
Asante kwa thread. Mimi pia nasubiri replies hapa
 
Acha hizo.. Usimkatishe mtu tamaa! Hao wenye elimu bongo wanaomaliza vyuoni kila siku Kazi wanazo? Kama Huna elimu Marekani unaingia nguvu Kazi Ya construction mpunga Wa kumwaga Na baada ya miaka 5 uko mbali. Kazi kibao Marekani, kila mtu na nafasi yake.. Aliye na elimu na asiye na elimu.. Ukiwa mvivu usije huku kaa huko huko bongo kwa maskini,

Kama umenisoma tangu nyuma badala ya kudandia mada, ungejuwa kuwa simkatishi tamaa ila nampa moyo.

Ila kama unataka kufanya kazi Facebook au Google au kampuni yote ya Silicon Valley, lazima usome Marekani na kila siku wana recruit doctorates wa kigeni.

Kama ungenisoma, niliandika kama wewe. Marekani si nchi ya mvivu. Kuna kazi kwa kila mtu ila mishahara ya kutisha lazima ujipange. Ya kununua mboga utapata ili ujenge. Ila Bill Gates anataka Ph.D katika mathematics.
 
Shukrani mkuu.. tutapata visa mimi na familia yangu itakuwa valid miezi 6,
Mji niliopanga kufikia ni Michigan ndo yupo mtu ambaye atanidhamini,sasa sijajua maisha ya jimbo hilo yapoje,
Kuhusu pesa ya kulipia visa na process zingine ipo na pesa ya kujikimu si haba nitakuwa nayo,naogopa nisije tumia pesa nyingi nikajutia ,
Trust me. .huwezi ku regret. ..tena wewe mchapa kazi na nyumba umeenda. .marekani inakufaa sana. ...
 
Naomba kuuliza kwa niaba ya mke wangu..huko amerika biashara ya African print inalipa,anapenda sana kujifunza kushona vitenge n.k

Wamarekani Weusi wanapenda nguo za Kiafrika pamoja na Waafrika wanaoishi huko. Kutegemea na style anayojua, atauza sana nguo.

Ila vitenge ni summer wear. Hawezi kuuza zaidi ya miezi minne.

Pia, kusuka inalipa sana, all year round. Demu mmoja wa Ghana ndiyo kazi yake. Ni nywele za bandia na kushona nguo tu ndio kazi yake.
 
Kama umenisoma tangu nyuma badala ya kudandia mada, ungejuwa kuwa simkatishi tamaa ila nampa moyo.

Ila kama unataka kufanya kazi Facebook au Google au kampuni yote ya Silicon Valley, lazima usome Marekani na kila siku wana recruit doctorates wa kigeni.

Kama ungenisoma, niliandika kama wewe. Marekani si nchi ya mvivu. Kuna kazi kwa kila mtu ila mishahara ya kutisha lazima ujipange. Ya kununua mboga utapata ili ujenge. Ila Bill Gates anataka Ph.D katika mathematics.
Fursa Marekani hazipo silicon Valley tu.

Na mafanikio si lazima uwe na shahada za juu.

Kuna ma small business entrepreneurs kibao wasio hata na shahada ya associates na wamefanikiwa kushinda hata hao ma PhD unaowataja taja.

Hivi wewe Marekani umeishi kwa muda gani?
 
Natamani lakini naogopa nisije jutia baadae,naona nifanye research kabla sijaamua, watu wanasema maneno mengi kuhusu Maisha ya marekani

Una elimu gani?
Ulicheza lotto bila kuiweka familia yako?
US is the best country around the World!
Hautajuta kuondoka TZ kuja hapa
Karibu sana Boise-Idaho tulime mbatata!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom