Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

Tafadhali kwa watanzania wanaoishi Marekani pita hapa

Status
Not open for further replies.
Ulisemalo ni kweli aisee mtu ka anataka Ku back huko bure uwe na elimu nzuri tena usomee huko huko hasa program ulizozitaja hakika ukiwa mtaalamu huko ni kuzuri na Ku rahisi ila ka no elimu walah nahisi shida ni kubwa mno
KAMA HUNA ELIMU NI SHWARI ZAIDI
 
Angeku

Kwa kweli inategemea na uwezo wako kifedha. .kama Unaishi Bongo na una uwezo mkubwa. ..huna haja wala hufikirii kucheza hiyo lottery. ..amejiona mwenyewe maisha ya Bongo yamemshinda hivyo ametafuta fursa nyingine. ...kwa hiyo tusi generalize mambo. ...binadamu tuko tofauti katika kila jambo. ..kwa upande wangu kwetu pazuri. ...

Nakubaliana na wewe.

Kwangu, pesa si muhimu kuliko peace of mind. I don't get it in Dar.

Siasa mbovu. Mahitaji ya binadamu tabu. Elimu shida.

Kuna wengine hawajali. Mimi najali. Ndio maana naishi nje.
 
Jamani hiyo lottery aliyopata huyo jamaa ni kitu gani? Je mtu anaipataje?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna mshikaji wangu yupo huko Minneapolis, Minnesota kasoma degree ya electrical and electronics eng university of Minnesota kawa huko almost 8 yrs..kapata pia job sio mbaya huwa ananicheki na dola kadhaa..Ila juz kati kaniambia anataka kurudi anaona kama kachoka kule kakumbuka home..bila kusahau akanambia kamis sana nyama choma hasa ya mbuzi nikasema karibu sana broo kuna chocho nying kupata hiyo nyama tamu..USA ni ngumu kuipata

Nikasema duuh inakuwaje hapa..Ila anasema marekani ni sehemu nzur kwa kuishi..!!
 
Kama ni wavivu etc, it's your opinion . Lakini we have to agree that there are people living in America today with hardship. Some of them might have mental issues au uvivu but majority of them lost their jobs when it was shipped overseas. It will be total bollocks to assume that everyone lives like in Hollywood movies. Au hamna umasikini huko. I don't have to google to know that.

I am not competing with your American knowledge. I am just putting you on notice that I know it just as much, if not more. I don't know what you do for a living but my knowledge of American economy is what pays my bills. And I can't know that by just living in Tokyo, Can I ? Not in this global world.

It's your right to think whatever about USA. I like it personally but I don't think it's the best country to live. I think Asia is where the economy and jobs are. I also like the fact that people are not packing in Japan and I can walk 3 am without worrying about my safety.
Maybe because I don't like guns and trigger happy cops.

Lastly, kila mtu na bahati yake. Strong work ethics pay. Opportunities are everywhere though. America was great but I don't believe it's the best country on earth.

You can stick to your opinion but I think if you live in Asia, you might change your mind. Asia is great Man!
I can walk out at 3 am, no sweat. Little violence. No Guns! affordable healthcare and education for all. I am expecting to live to be 100.
What more can I ask for?

You can keep your America Dude!
Stick to your Asia and I'll stick with my US of A.

America has been so good to me.

USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
Kila mwaka Serikali ya Marekani inatoa bahati na sibu kwa njia ya mtandao. Raia 50,000 wa nchi kadhaa ikiwemo Tanzania, wanaweza kucheza hio bahati kwa kujiandikisha katika mtandao wao.

Huhitaji malipo ila uwe na elimu ya sekondari. Ukishinda, unapewa viza ya kuishi Marekani (green card).

Electronic Diversity Visa Lottery

https://travel.state.gov/content/da...ranslations/DV-2017 Instructions and FAQs.pdf

Katika tovuti hiyo ya juu, unakuta maelezo zaidi jinsi ya kujiandikisha.

Thank you.
 
Nampotosha na nini ? Au unafikiri hiyo Marekani tumeishia kuiona kwenye Atlas ? Sawa nampotosha ukweli ni upi ?
Eti baki hapahapa uweke misingi vizuri.....unaweza kupeleka hata familia yako ....sijui.. Hawii ..pumba tu kwa uchumi gani huu tulionao???Mshauri mwenzio atoke hii nchi...kama Marekani hujaishia kuiona kwenye atlas utanielewa ninayokwambia
 
huu Uzi unatuhusu tunaokaa USA tu kama akina nyani ngabu nashangaa mnaingilia ingilia tu mada hapa.karbu sana we unaekuj nna nastay hapa L.A [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
huu Uzi unatuhusu tunaokaa USA tu kama akina nyani ngabu nashangaa mnaingilia ingilia tu mada hapa.karbu sana we unaekuj nna nastay hapa L.A [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Una pesa au ndio maandhali tu ndio furaha kwako hata kama unaosha vizee mavi..
 
Mara nyingi, watu hupenda kuiremba Marekani na barabara safi na majumba makubwa.

Marekani kuna maisha ya kitajiri na kuna maisha duni kama ya Afrika.

Hatuwezi kuifananisha Marekani na Tanzania. Maisha ni tofauti sana kutegemea na elimu ya mtu.

Mtoa mada, kama unategemea kuajiriwa, uwe na elimu inayohitajika na waajiri. Hata kama ni daktari Tanzania, huwezi kuanza kazi bila ya ukaguzi wa vyeti vyako na kama umesona nje ya Marekani, digrii yako huenda isiwe sawa na ya Marekani mpaka ufanye course kadhaa. Hii huchukua muda.

Nakushauri uende peke yako kwanza. Nakushauri usiende Michigan, nenda majimbo ambayo yana kazi zaidi na tajiri zaidi. Michigan ipo hoi kiuchumi. Kwa kuanza, New York, California, Texas.

Nakushauri utafute kazi katika mtandao au usome kazi ziliopo katika mtandao kabla ya kwenda na usome gharama za maisha katika majimbo tofauti yanayolingana na elimu na ujuzi wako.

Tafuta kazi ambazo ni nyingi na rahisi kupata kwa elimu yako. Jisomee mwenyewe.

Maisha kokote ni magumu lakini utafanikiwa mwisho.

Kila la kheri.

Hii pia ni Marekani.

b986305f2148ab373e553ee296d5a107.jpg


1a9cf61c107d90d87c9ca828c86f2f96.jpg


e3f287840f7a43ca131cc5117e2df22c.jpg
Una ugomvi na Nyani Ngabu subiri aje na detail hizo picha kama sio za miaka ile Mohamed ally anapigana sijui na hiyo moja baada ya mafuriko hao wanaodai ni masikini basi ni wavivu tu na 44m wakati marekani kuna 450m ya watu huo umasikini ni wa kujitakia
 
samahani kwa kuvamia uzi mimi natafuta usa citizen au permanent resident ambaye anaweza kuwa cosigner kwenye my student loan
yaani bila us citizen au permanent resident student loan hawatoi
tuta negotiate kiasi gani nimlipe loan ikiwa approved
ntamrelease kwenye loan as soon as i complete my study
thanks in advance
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom