Tafadhali Magufuli: Ambao Hukuwatuma, Wakikatwa Usiwabebe!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,256
Reaction score
44,597
Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.

Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.

SASA kwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!

Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!

Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"! Tena wasipewe hata u monitor wa chekechea aka vidudu!

#MagufuliTena2020
 
Ningekuwa nataka uteuzi ni suala la kusema "ndio mheshimiwa"..

Kimsingi Magufuli sio mtu mkweli na huwa hasimamii anachokisema. Ukiona Magufuli anakukazia na kutekeleza anachokisema dhidi yako ujue ana chuki na wewe, au ww ni kitisho kwa madaraka yake. Hao wengine wote ataweza kuwabeba kinyume na maneno yake, maana hawachukii na wala wao sio kitisho cha madaraka yake.
 
Imeishaaaaaaaaaaaah hiyooooooh
JamiiForums-86313747.jpg
 
Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.

Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.

SASAkwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!

Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!

Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"!

#MagufuliTena2020
Hasa yale machotara yananikera kama nini lkn tunakoenda naona yanapigwa chini.
 
Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.

Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.

SASAkwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!

Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!

Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"!

#MagufuliTena2020
Acha wivu tuliza Wenge unataka wasipewe nafasi tena ili upewe wewe? Maana umemlamba viatu magu lakini kimya hata URAS umeukosa.
 
Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.

Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.

SASAkwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!

Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!

Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"!

#MagufuliTena2020
Eti nini? Unasema Magu siyo mtu wa kujichanganya na kuonekana anajipinga? Siamini kama umeshasahau kiasi hicho.
Magu anabadilika kama kinyonga. Mawaziri wangapi amewatumbua na kuonesha wasivyofaa kwenye nafasi waliyokuwa nayo na baadaye akawarejesha madarakani? Huko siyo kujipinga?
Alisema serikali yake wapinzani wasitegemee nafasi yoyote, mbona alibadilika na akawapa vyeo? Au siyo Magu tunayemfahamu anayemzungumzia?
Tusubiri tuone kitakachotokea, wengine hamtaamini macho na masikio yenu.
 
Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.

Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.

SASAkwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!

Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!

Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"!

#MagufuliTena2020
Wapigwe haswa
 
Back
Top Bottom