Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
"Sio wote waniitao baba watauona ufalme wangu"
Tayari makonda kashaachwaaaa kitambooooohNiambie basi
Bado wanahesabuTayari makonda kashaachwaaaa kitamboooooh
Baba kigani imekula kwake.Imeishaaaaaaaaaaaah hiyoooooohView attachment 1511851
Tunamshukuru mh magufuli kwa kutukumbuka na kutuletea kupatwa kwa jua huku kigamboni, tuko pamoja nae na tunamuombea!Imeishaaaaaaaaaaaah hiyoooooohView attachment 1511851
sema mkuu kitu anachonifurahisha, ni mtu wa principle, aliwataadharisha wateule wake tena kwa msisitizo, "ridhikeni na mlichonacho, acheni tamaa" ! wakamdhihaki na kujimwambafai kuacha vyeo vya uteule na kwenda kugombea.Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.
Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.
SASA kwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!
Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!
Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"! Tena wasipewe hata u monitor wa chekechea aka vidudu!
#MagufuliTena2020
Umeshapata majibu mkuu?Bado wanahesabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba kigani imekula kwake.
Weeeeee like seriously [emoji849][emoji849]Imeishaaaaaaaaaaaah hiyoooooohView attachment 1511851
TayariiiUmeshapata majibu mkuu?
Kwambaaaa?[emoji87]Tayariii
Makonda chiniiiKwambaaaa?[emoji87]
Ndio maana hata una unga mkono Kila kitu Hadi unaona aibu kujitokeza jukwaani!Ningekuwa nataka uteuzi ni suala la kusema "ndio mheshimiwa"..
Mbona nasikia eti kutangulia kwa kura sio kuchaguliwa kuwa mshindi[emoji849][emoji849]Makonda chiniii
MkuuMojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.
Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.
SASA kwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!
Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!
Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"! Tena wasipewe hata u monitor wa chekechea aka vidudu!
#MagufuliTena2020
Gambo na Mnyeti wameibuka kidedea, lakini Makonda kateleza kidogo mbele ya mtu mkweli, mwenye kuzingatia maadili, weledi na taaluma zake, yaani Ndugulile ambaye unaibu waziri wake ulisitishwa wakati wa sakata la kibabaishaji juu ya COVID-19. Ni lazima watu waelewe watatu hawa ni "special candidates" hata Polepole na Bashiru wanatambua hivyo.Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.