Tafadhali Magufuli: Ambao Hukuwatuma, Wakikatwa Usiwabebe!

Tafadhali Magufuli: Ambao Hukuwatuma, Wakikatwa Usiwabebe!

upuuzi mwingine. jiheshimu mzee usiwe na tabia kama za gwajima. mzee ashasema hakutuma mtu hao unaosema 'ambao hukuwatuma' ulisikia wapi?
 
Tunaolalamika nchi haindeshwi vizuri, malalamiko yetu ni vs individuals ktk uendeshaji, au mfumo mzima?

Kama ni mfumo, tusihadaike na huku kuangushwa individuals. Inaweza kuwa ni distraction tu, tuache kufikiria the bigger picture. Bashites wakitoka mfumo upo tu.

Tujihadhari
 
20 Julai 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania

SILINDE KAWAPIGIA MAGOTI CCM KASEMA HAYA KWA WAJUMBE WA CCM JIMBO LA TUNDUMA ,NITUMENI NIKAWATUMIKIE



Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
huyo huyo magufuri ndiye aliyesema, yeye ndio muamuzi wa mwisho. kusema kwamba hakutuma mtu haimaanishi hana watu wake.
 
Hao walioteuliwa kutoka upinzani eg Prof Mkumbo,Katambi halafu wakaacha vyeo kwenda kugombea ubunge kupitia CCM ndo vihiyo kwelikweli.

Kwa ushawishi na uwekezaji upi huko CCM majimboni walifanya?
Nasari alikuwa na jina zito na kubwa Chadema kaunga mkono juhudi kabwagwa kura za maoni Arumeru kapata kura mbili!!
 
Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.

Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.

SASA kwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!

Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!

Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"! Tena wasipewe hata u monitor wa chekechea aka vidudu!

#MagufuliTena2020
Ataweza kumwacha Bashite kweli?
 
Back
Top Bottom