Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Ningekuwa nataka uteuzi ni suala la kusema "ndio mheshimiwa"..Naona unataka wakose ili nawe upate nafasi ya kuteuliwa. Hayo ndio mawazo na maombi ya watu kama Pasco.
Ni dua njema pia.
Ningekuwa nataka uteuzi ni suala la kusema "ndio mheshimiwa"..
Hasa yale machotara yananikera kama nini lkn tunakoenda naona yanapigwa chini.Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.
Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.
SASAkwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!
Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!
Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"!
#MagufuliTena2020
kama inategemea atakavyoamka ushindani wa nini tenaaa>Itategemea atakavyo amka
Acha wivu tuliza Wenge unataka wasipewe nafasi tena ili upewe wewe? Maana umemlamba viatu magu lakini kimya hata URAS umeukosa.Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.
Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.
SASAkwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!
Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!
Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"!
#MagufuliTena2020
Eti nini? Unasema Magu siyo mtu wa kujichanganya na kuonekana anajipinga? Siamini kama umeshasahau kiasi hicho.Mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.
Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.
SASAkwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!
Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!
Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"!
#MagufuliTena2020
Wapigwe haswaMojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuwaumiza baadhi ya watu, kuwaudhi wengine na kuwafurahisha maelfu wengine ni kauli ya Rais Magufuli kuwa yeye hakumtuma mtu yeyote kwenda kugombea ubunge. Kwamba hakuna kiongozi yeyote Wa kitaifa ambaye anawagombea wake.
Ujumbe huo ameurudia mara kadhaa na kupigiwa panda na viongozi Wa CCM.
SASAkwa vile Rais hapendagi kujichanganya au kuonekana anajipinga, ombi langu kwake kuwa wote walioacha nafasi alizowateua na kuwaaminisha wakaondoka kwenda kugombea ubunge basi Wakikatwa si wakishindwa basi tafadhali asiwakumbuke katika Paradiso ya Bongo; yaani atakapokuja katika ufalme wake!
Katika ya mbigili hayabebwi kichwani!
Magufuli awaambie kwa ile sauti yake yenye utani wenye ukweli..."Wakome na wabaki hukohuko"!
#MagufuliTena2020
Hii habari ni kweli?Imeishaaaaaaaaaaaah hiyoooooohView attachment 1511851
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii habari ni kweli?
Hebu njoo nikuzawadie mpendwa hahaha
Niambie basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]