Tafadhali 'mliooa' jitahidini kuwaridhisha wake zenu kwani Mabachela waandamizi tumechoka wuwasaidieni kazi Maghettoni mwetu

Tafadhali 'mliooa' jitahidini kuwaridhisha wake zenu kwani Mabachela waandamizi tumechoka wuwasaidieni kazi Maghettoni mwetu

Haiwezekani kati ya Wake za Watu Kumi ( 10 ) unaowabandua (unaolala) nao Tisa ( 9 ) ukiwa nao Vitandani wanalalamika kuwa Waume zao wamekuwa 'Goigoi' kama Wachezaji wa Klabu ya Yanga SC na kwamba hawawafurahishi wala kuwaridhisha tena kama walivyokuwa Wachumba wakiwa wanabaiolojiana.

Mabachela Waandamizi tunawaonea sana Huruma 'tunavyowabandulia' ila hatuna jinsi Kwani Wanaume tusiooa Siku hizi huwa tuna Semina zetu za jinsi ya Kutiririka na Kuserereka na Wake zenu ( kama Tuisila Kisinda akiwa pembezoni mwa chaki ) kiasi kwamba hata tukiwa nao Vyumbani 'Faragha' huwa 'wanawatukana' kweli kweli japo mnawagharami kila Kitu.

Wanaume mliooa 'mnafeli' wapi nyie?
na wewe oa, kaa na mke wako miaka 5 halafu tuambie kama ufanisi utakuwaje.
 
Back
Top Bottom