Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Maji ya Mochwari (hasa yatokee Temeke Hospital au Amana) tu

2. Mchanga na Nyasi kidogo kutoka Kigamboni Avic Town au Jangwani Mafurikoni

3. Jezi ya Klabu Kubwa duniani ila iwe ni ama Njano au Kijani (ikiwepo ya Tanzania) itakuwa ni nzuri zaidi

4. Njiwa Saba (7) ila wawe ni Weupe na hawajabalehe bado.

5. Vyura Jike Tisa (9) na waokotwe kutoka maeneo ya Mafurikoni Jangwani.

6. Jeneza la Mbilikimo wa Congo DR na liwe ni fupi kweli kweli

7. Machozi ya Fisi Dume

Mwenye navyo anitafute upesi PM Pesa ipo na akiweza Kuvileta ambapo GENTAMYCINE nimepiga Kambi kuanzia leo hadi mpaka Jumapili (tarehe 16 April, 2023) Saa 4 Kamili Usiku itapendeza zaidi.

Ninatanguliza Shukran Kwenu nyote.
 
ongeza na shahawa za fisi
 
Eti huyu ndio anajiita mwenye akili kubwa

Akili za akina Sengube na wapiga ramli

Hiyo sijui committee ya Jamii forum Hawako serious

Huyu mganga wa kiejejii mnampa eti sijui nini.

Amewapulizia mauzauzaa mkajaa upepo mkaona ndio yeye

Huyu ni mchawi
 
Hayo tumemiachieni Makolo🦁.Na mechi ijayo kwa uchache tunawabugiza Hamsaaa🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…