Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

Waliyokupa tuzo, unafanana nao akili.
Huyu jamaa tuzo zimemtoa akili kabisa, bora zamani kidogo alikua nazo chache ni mihemko ya kihisia ndo ilimsumbua ila kwa sasa kichwa maji akili zinaelea tu.
 
Kama mmefuatilia mtagundua kuwa watu wa simba wanaweweseka sana kuelekea mechi ya jumapili
Kuja kukomenti hapa Ni kuweweseka zaidi. Saikolojia haidanganyi.

Hivyo vitu vyote Yanga wanavyo kwenye makabati Yao na baadhi Manara anavitunza nyumbani kwake.( Sorry Manara Hana kwake Bali amepangishwa na mwanamme mwenzake mjini) Hasa hayo maji maiti Ndiyo huwa Takadini anayatunza.
 
Huyu jamaa tuzo zimemtoa akili kabisa, bora zamani kidogo alikua nazo chache ni mihemko ya kihisia ndo ilimsumbua ila kwa sasa kichwa maji akili zinaelea tu.
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi kujua.
 
Huyu mzushi akiachwa ipo siku atakuja kuleta maafa makubwa hapa nchini. Vyombo vya Usalama hebu fanyeni kazi yenu
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi kujua.
 
Kuja kukomenti hapa Ni kuweweseka zaidi. Saikolojia haidanganyi.

Hivyo vitu vyote Yanga wanavyo kwenye makabati Yao na baadhi Manara anavitunza nyumbani kwake.( Sorry Manara Hana kwake Bali amepangishwa na mwanamme mwenzake mjini) Hasa hayo maji maiti Ndiyo huwa Takadini anayatunza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tangu lini ankoliiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna ghaflaa sanaaa??
pp.jpg
 
Sijui ni kwanini Mimi, Wewe na Wengine tunamchukia kweli hapa JamiiForums ila Kutwa hatuachi Kumfuatilia, Kumjadili na Kumpaisha Kiumaarufu bila ya Sisi kujua.
Alokwambia anachukiwa ni nani??
Kumkosoa mtu haimaanishi unamchukia.

Yaani chizi ukimwambia wewe ni chizi hapo unakua unamchukia, acha matumizi mabaya ya neno chuki.
 
Back
Top Bottom