GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Aug 2, 2024 #1 Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
Manake naona sasa kila Siku tu lazima kuna Taarifa ya Treni ya SGR Kukwama njiani. Iwekwe katika Kubeti tule Fedha.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Aug 2, 2024 #2 Wewe Netanyahu unachokitafuta kwa sa100 utakipata tu. Unasikia inaitwa Samia Great Railway - SGR
Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Aug 2, 2024 #3 wengine wanasema ni uhujumu wa wamiliki wa mabasi. serikali ichunguze.