Mi naamini,kweli hawa hawako fit,na wao wanajua,hata Kanali Muna,atakua alijisahau kuomba msaada wa wanajeshi hata 30,waje wapambane na Kato,yakamkuta yaliyomkuta.Jeshi lingefumuliwa kwakweli.Recruitment ifanyike upya,waingie wale wa one man army,siyo wale ambao ni group oriented army.Wanajeshi wa "kamlete"..... Yaani mmoja mmoja wanagongeshwa vya kutosha mnoooo... .
Tumeshaanza Kuwaroga na kuanzia sasa Watadondoka Mmoja Mmoja Kiushirikina. Wao si wanatumia Miguvu yao ya Kipumbavu na Ubabe Kwetu Raia? Sasa Sisi tunaroga Wafutike kabisa duniani na Wengine wawe Matahaira.😅utajipongeza vipi na kundi la wah...i?
Kwanza,mnaendeleaje na hali huko?
Wewe unadhani East African Genius President anavyolidharau Jeshi letu ( JWTZ ) anakosea?Mi naamini,kweli hawa hawako fit,na wao wanajua,hata Kanali Muna,atakua alijisahau kuomba msaada wa wanajeshi hata 30,waje wapambane na Kato,yakamkuta yaliyomkuta.Jeshi lingefumuliwa kwakweli.Recruitment ifanyike upya,waingie wale wa one man army,siyo wale ambao ni group oriented army.
Inadaiwa tuna serikali!Ninao tu ng'adu kwa ng'adu siwaachi hadi Wajitokeze kuomba Radhi kwa Upumbavu walioufanya kwa Raia wasiokuwa na Hatia.
Mtu anaishi Mbagala anafanya Kazi Mbezi Afrikana ( tena ni Mtu mzima kabisa ) unamkuta Kawe Ukwamani ( eneo la Oil Com Petrol Station ) anasubiri DalaDala za Kawe-Mbagala arejee Kwake Mbagala Charambe unamkamata huku ukiwa umemnyooshea Mjegeju ( Bunduki ) na Kumuinga ndani ya Gari na kwenda Kumtesa Kambini Uwanjani Mwenge na kumuachia akiwa Hoi bin Taaban Saa 9 za Usiku arejee Kwake Mbagala Charambe.
Huu kama si Ukatili, Ushamba na Upumbavu uliovuka Viwango na Usiovumilika kwa Raia ni nini?
Wakiomba tu Radhi ndiyo nitanyamaza.
Labda ni la Sita ( 6 ) kwa Upumbavu, Ukatili na Ushamba ila kwa Ubora GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kukubaliana nao / kuamini.Labda la sita kwa unywaji wa pombe na umalaya
Nimegawa likes kama njugu
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Siku tukizichapa na hao watu hatutoboi wanatucharaza mapemaWewe unadhani East African Genius President anavyolidharau Jeshi letu ( JWTZ ) anakosea?
Kwahiyo huyo Msemaji wao Facts zote hizi alikuwa Hana? au alizidiwa tu na Upumbavu anaoumiliki?TANGU LINI JWTZ WAKAWA NO 6
WAKATI WANAKARNE. NYINGI HAWAJAEXPERIENCE TOTAL COMBAT WAR
Na JWTZ lisithubutu Kuichokoza hiyo nchi kwani Watapigwa hawatoamini na watakufa hovyo kama Inzi wa Chooni.Siku tukizichapa na hao watu hatutoboi wanatucharaza mapema
Jeshi lenu JWTZ ( na hasa hasa hapo Kikosini Kwenu ) Lugalo lingekuwa Imara hawa Raia uliosema huwa Wanaingia na Kuwaibieni wangeweza kuingia Kirahisi hivyo?Mnataka kuombwa radhi ama nini? Acha kuwaponza watu wa kawe wewe. Na ngoja tumerudi kuzika tayari,kwahyo kaeni mkao wa kula.
Mtatajana tu mpaka wanaoingiaga kwenye hizi blocks na kudokoa vitu vyetu.
Mzee vp ushajichukulia frame paleEndelea kubweka sio mbaya ujaenda pale getini na Bango la kubwaa ukiwaambia hayo yote ndg mzalendo
Eneo la Kawe kipigo kitatembea mpaka mwaka uishe mmeyakanyaga
Kwanza wewe ni mkazi wa Maji matitu nashangaa sana unavamia bogi la wajuba
Ugomvi wao sasa ...chanzoHaliwezi kuwa la 6,hakuna jeshi linalomvamia raia,tena ambaye hana mafunzo yoyote yale,linamvamia kwa makundi,yaani kuonyesha kua mwanajeshi mmoja,hana uwezo wa kukabiliana na mwananchi mmoja,ambaye hana silaha,je wakipelekwa Gaza?
Ule ni uongo bhana.
Hela hiyo aitoe wapi huyo Mjeda Masikini mkubwa tu kama Mimi GENTAMYCINE Mkuu wangu?Mzee vp ushajichukulia frame pale
Lugalo ,utatuwekea kigrocery au
Ova
Tumuulize ubora wa jeshi unapimwa na kitu gani mkuuKwahiyo huyo Msemaji wao Facts zote hizi alikuwa Hana? au alizidiwa tu na Upumbavu anaoumiliki?
Nakubaliana nawe kwa hiki kwa 100%Hakuna jeshi tz. Kwanza wengi ni zero brain. Elimu hawana kabsa wengi nakunywa nao gongo kawe. Nawajua sana na wanapigagwa makofi na raia wakipishana kauli kwenye mabanda ya pombe chafu. Kiufupi ni jeshi la hovyo kwa asilimia 65.