Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

Wanajeshi wa "kamlete"..... Yaani mmoja mmoja wanagongeshwa vya kutosha mnoooo... .
Mi naamini,kweli hawa hawako fit,na wao wanajua,hata Kanali Muna,atakua alijisahau kuomba msaada wa wanajeshi hata 30,waje wapambane na Kato,yakamkuta yaliyomkuta.Jeshi lingefumuliwa kwakweli.Recruitment ifanyike upya,waingie wale wa one man army,siyo wale ambao ni group oriented army.
 
😅utajipongeza vipi na kundi la wah...i?

Kwanza,mnaendeleaje na hali huko?
Tumeshaanza Kuwaroga na kuanzia sasa Watadondoka Mmoja Mmoja Kiushirikina. Wao si wanatumia Miguvu yao ya Kipumbavu na Ubabe Kwetu Raia? Sasa Sisi tunaroga Wafutike kabisa duniani na Wengine wawe Matahaira.
 
Mi naamini,kweli hawa hawako fit,na wao wanajua,hata Kanali Muna,atakua alijisahau kuomba msaada wa wanajeshi hata 30,waje wapambane na Kato,yakamkuta yaliyomkuta.Jeshi lingefumuliwa kwakweli.Recruitment ifanyike upya,waingie wale wa one man army,siyo wale ambao ni group oriented army.
Wewe unadhani East African Genius President anavyolidharau Jeshi letu ( JWTZ ) anakosea?
 
Ninao tu ng'adu kwa ng'adu siwaachi hadi Wajitokeze kuomba Radhi kwa Upumbavu walioufanya kwa Raia wasiokuwa na Hatia.

Mtu anaishi Mbagala anafanya Kazi Mbezi Afrikana ( tena ni Mtu mzima kabisa ) unamkuta Kawe Ukwamani ( eneo la Oil Com Petrol Station ) anasubiri DalaDala za Kawe-Mbagala arejee Kwake Mbagala Charambe unamkamata huku ukiwa umemnyooshea Mjegeju ( Bunduki ) na Kumuinga ndani ya Gari na kwenda Kumtesa Kambini Uwanjani Mwenge na kumuachia akiwa Hoi bin Taaban Saa 9 za Usiku arejee Kwake Mbagala Charambe.

Huu kama si Ukatili, Ushamba na Upumbavu uliovuka Viwango na Usiovumilika kwa Raia ni nini?

Wakiomba tu Radhi ndiyo nitanyamaza.
Inadaiwa tuna serikali!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mnataka kuombwa radhi ama nini? Acha kuwaponza watu wa Kawe wewe. Na ngoja tumerudi kuzika tayari,kwahyo kaeni mkao wa kula.

Mtatajana tu mpaka wanaoingiaga kwenye hizi blocks na kudokoa vitu vyetu.
 
Mnataka kuombwa radhi ama nini? Acha kuwaponza watu wa kawe wewe. Na ngoja tumerudi kuzika tayari,kwahyo kaeni mkao wa kula.

Mtatajana tu mpaka wanaoingiaga kwenye hizi blocks na kudokoa vitu vyetu.
Jeshi lenu JWTZ ( na hasa hasa hapo Kikosini Kwenu ) Lugalo lingekuwa Imara hawa Raia uliosema huwa Wanaingia na Kuwaibieni wangeweza kuingia Kirahisi hivyo?
 
Endelea kubweka sio mbaya ujaenda pale getini na Bango la kubwaa ukiwaambia hayo yote ndg mzalendo

Eneo la Kawe kipigo kitatembea mpaka mwaka uishe mmeyakanyaga

Kwanza wewe ni mkazi wa Maji matitu nashangaa sana unavamia bogi la wajuba
Mzee vp ushajichukulia frame pale
Lugalo ,utatuwekea kigrocery au

Ova
 
Haliwezi kuwa la 6,hakuna jeshi linalomvamia raia,tena ambaye hana mafunzo yoyote yale,linamvamia kwa makundi,yaani kuonyesha kua mwanajeshi mmoja,hana uwezo wa kukabiliana na mwananchi mmoja,ambaye hana silaha,je wakipelekwa Gaza?
Ule ni uongo bhana.
Ugomvi wao sasa ...chanzo

Ni madem na pombe

Ova
 
Kiroboto kwanza umekula?
Turudi kwenye mada
JWTZ halina muda wa kujiongeza humu mitandaoni ni km IDF.
Nyie kawe huko ni Gaza ndogo mpigwe tu.
Mnashinda mitandaoni tu kutoa huruma na hujuma.
Yaani nyie raia mnaua kanali wa jeshi tena jirani yenu hapo.
Badae mnaanza kulia kuonewa.
Hao Wanalinda kazi zao,ranking na sio umbea wenu huku.
Acha mpigwe tu
 
Kwa Watu waliotembea Nje ya Africa kwa waliotuzidi maendeleo na mifumo Vipi Uko nako Wanajeshi wanapiga Raia.
Maana kwa Tanzania Wanajeshi kupiga Raia au Kukuvimbia na kukudhalilisha Mbele za watu Ni Kawaida Sana.
 
Hakuna jeshi tz. Kwanza wengi ni zero brain. Elimu hawana kabsa wengi nakunywa nao gongo kawe. Nawajua sana na wanapigagwa makofi na raia wakipishana kauli kwenye mabanda ya pombe chafu. Kiufupi ni jeshi la hovyo kwa asilimia 65.
 
Nakubaliana nawe kwa hiki kwa 100%
 
Back
Top Bottom