GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Jul 9, 2024 #1 Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
Yaani wenye Simba SC tumerejea na kuombana Msamaha na kulishana Yamini halafu Msimu ujao isibebe Vikombe?
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 11,550 Reaction score 40,697 Jul 9, 2024 #2 Hakuna usajiri pale Simba, ni upigaji na ujanja ujanja wa Mo kuwazuga majuha na mataahira tu. Mimi ni simba na nina uhakika msimu ujao tutapigwa ovyo ovyo.
Hakuna usajiri pale Simba, ni upigaji na ujanja ujanja wa Mo kuwazuga majuha na mataahira tu. Mimi ni simba na nina uhakika msimu ujao tutapigwa ovyo ovyo.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Jul 9, 2024 #3 Hata msimu uliopita mbona mmebeba ,tena ndio team pekee imepewa kombe na Rais Ila hamjiamini mixer kama mnaoga nje
Hata msimu uliopita mbona mmebeba ,tena ndio team pekee imepewa kombe na Rais Ila hamjiamini mixer kama mnaoga nje
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 4,236 Reaction score 5,907 Jul 9, 2024 #4 Mwaka wetu Wana thiiiiimbaaaaaa
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,893 Reaction score 20,089 Jul 9, 2024 #5 Kwakweli hatutoamini maana watu watakua wanapigania kutoshuka daraja