nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Kuna clip nilimuona mmoja anasema alipokuwa chuo amelala guest...lodge...na hotel mbalimbali....balaaNaunga mkono 💯
Wanawake wengi waliosoma hasa degree ni takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna clip nilimuona mmoja anasema alipokuwa chuo amelala guest...lodge...na hotel mbalimbali....balaaNaunga mkono 💯
Wanawake wengi waliosoma hasa degree ni takataka
we kijana una safari ndefu sana kuujua huo "usahihi" kama hata uwezo huo wa kuelewa utakua nao.
Unawaza kama popo mkuu hauwezi kuleta logic za kitoto kupingana na nature, bro mwanamke na mwanaume wameumbwa tofauti na majukumu yao ni tofauti.
kila siku humu unaelezea maadili "yako" ya kiislamu je KWANINI HAKUNA NABII MWANAMKE ?! Of course hauwezi kuwa na jibu, utalipata wapi marioo ulieaminishwa "maisha kusaidiana"

na mnaotetea women empowerment mmekariri influencers wa wapi ?Kiranga si unaona? Wengi wanaoleta hizi mada za kuponda wanawake wamekariri mambo kwenye video za mitandaoni.
Hilo neno 'simp' linamuumbua mleta mada moja kwa moja.
The unpaid Seller unaharibiwa na internet influencers. Wanafanya ke waonekane wabaya ili washike attention za me, ili wauze dating courses😂
Nisamehe kwa gazeti nimeshindwa kujizuia.
wala hata, ni fikra huru tuna mnaotetea women empowerment mmekariri influencers wa wapi ?
Huyu ningemwambia amsikilize Tracy Chapman katika "Telling Stories".Kiranga si unaona? Wengi wanaoleta hizi mada za kuponda wanawake wamekariri mambo kwenye video za mitandaoni.
Hilo neno 'simp' linamuumbua mleta mada moja kwa moja.
The unpaid Seller unaharibiwa na internet influencers. Wanafanya ke waonekane wabaya ili washike attention za me, ili wauze dating courses😂
Nisamehe kwa gazeti nimeshindwa kujizuia.
Kama unaamini mwana-mume na mwana-mke ni sawa taja mtume au nabii yeyote mwanamke vinginevyo na vimaadili vyako wewe umnafiki na usiye na unalofahamu kuhusu asili ya mwana-wa-adamu.Unapozungumzia nature unajua unazungumzia mpaka Viumbe wengine kama wanyama, samaki na Ndege?
kufanya kazi ni matokeo na adhabu kwa mwanaume kitabu cha Mwanzo 2 mwanamke alipewa jukumu la kuzaa kwa uchungu. Kungangania wanawake wafanye kazi ni uvivu wa enyi mamarioo mwiba micheleMimi nawajua manabii zaidi ya kumi wanawake kwenye kitabu cha Biblia.
Au unazungumzia Quran?
Mwanamke kusoma au kufanya kazi haihusiani na umarioo.
Umarioo umamhusu Mwanaume asiyetaka kufanya kazi.
Sheria ya Mungu kwa wote ni kufanya Kazi. Kwa wanawake na wanaume. Kasome Torati.
Wewe usisomeshw binti zako wawe wa bei nafuu na kutumikishwa kama mapunda na wanaume wajinga kama wewe
Kama unaamini mwana-mume na mwana-mke ni sawa taja mtume au nabii yeyote mwanamke vinginevyo na vimaadili vyako wewe umnafiki na usiye na unalofahamu kuhusu asili ya mwana-wa-adamu.
fikra huru za kimarioo au sio ?wala hata, ni fikra huru tu
kufanya kazi ni matokeo na adhabu kwa mwanaume kitabu cha Mwanzo 2 mwanamke alipewa jukumu la kuzaa kwa uchungu. Kungangania wanawake wafanye kazi ni uvivu wa enyi mamarioo mwiba michele
Nakazia sanaKwanza kwakujumuisha mambo
umejibu off topic (hii pia ni sifa mujarabu ya wanamake wajuaji ila zero) wewe ulisema wanamake wasio na ajira ndio hupenda kuolewa, nikakuuliza kulikoni love connect WENYE AJIRA WANATAFUTA WAOLEWE, kilaza unajibu niwafuate alafu nilete majibu !!Huyo wa love connect kama anajiweza kiuchumi basi mwambie huna kazi upo tayari kumuoa halafu lete jibu lake hapa
Niko hapa na mimi kuna hela naisikilizia akizingua tu navushaBado sijaolewa kuna mwanaume namsikilizia
Nashangaa kusikia waliosoma ni trash.What say you Huey?
Waliofanikiwa ktk hili ni wale waliofanikiwa kuwaachisha wake zao kazi wakabaki kuwa wamama wa nyumbani lkn km bado yuko kazini na amezungukwa na wanaume pengine wana vipato kuliko ww na anaelimu yake na bado anauhakika wa kuongeza vyeo kazini mjomba hutoboi ktk hiliKama unaoa mwanamke mwenye elimu basi hakikisha una elimu kubwa kushinda yeye na kipato kikubwa kushinda yeye. Hapo kama akili zake ni fupi basi ndio atakuheshimu. Ila mwanamke mwenye akili hata awe nani lazima atamuheshimu mwanaume.
Hivyo tatizo sio kuoa mwanamke msomi, bali tatizo ni kuoa mwanamke asiye na akili wala heshima. Na vilevile kama huna akili basi usioe mwanamke aliyesoma, kikawaida ili kuwe na heshima ni lazima mwanaume amzidi mwanamke akili.
Mimi hakuna mwanamke atakayenisumbua hata awe ni astronaut anafanya kazi nasa.
Wasikusikie wanasiasa 🤓😁Nakazia sana
Naweza sema hili ndo janga la taifa, sio hesabu, sio UKIMWI....