Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Tuanzishe kampuni yakuhamisha watu maana, soon wanawake wasomi watafukuzwa ama itabidi wakimbie wenyewe Tanzania.Nashangaa kusikia waliosoma ni trash.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuanzishe kampuni yakuhamisha watu maana, soon wanawake wasomi watafukuzwa ama itabidi wakimbie wenyewe Tanzania.Nashangaa kusikia waliosoma ni trash.
Itakua umekumbana na msomi kakufanyia vibaya. Ila wapo wanawake wasomi na ndoa wanazitumikia vizuri tu ...Mke mwemav ni yule Mcha Mungu ata awe na PhD anajua mume ni nani kwake...Tatzo lenu mnaoa maslay queens mnaangalia Tako kubwa ndomana mnaangukia pabayahauwajui wanawake, mwanamke akishakua na elimu na ajira AUTOMATICALLY jeuri na ujuaji vinakua SI unit ya hulka yake
Kwakweli soon itakuwa deal na kuwatafutia visa nchi za ugeniniTuanzishe kampuni yakuhamisha watu maana, soon wanawake wasomi watafukuzwa ama itabidi wakimbie wenyewe Tanzania.
It is 2024 and numbers. Kila kitu kimebadilika lakini wewe unataka mwanamke awe yule yule wa kitabu cha mwanzo mlango wa ngapi mstari wa ngapi sijui. Kwamba akae bila kufanya kazi katika ulimwengu wa kibepari, aolewe apewe kila kitu na mume, unfortunately mume akawa disable gafla?kufanya kazi ni matokeo na adhabu kwa mwanaume kitabu cha Mwanzo 2 mwanamke alipewa jukumu la kuzaa kwa uchungu. Kungangania wanawake wafanye kazi ni uvivu wa enyi mamarioo mwiba michele
Hata Naomi...Mwanaume na mwanamke ni sawa ila hawalingani.
Wanahaki Sawa zisizo lingana.
Manabii wa kike wapo wengi Mkuu acha kubisha mambo usiyoyajua;
1. Miriam Dadaake Musa NI Nabii
2. Ruthi ni Nabii
3. Esther NI Nabii
4. Sarah ni Nabii
5. Anna ni Nabii
6. Debora
Reference unataka?
Lk 2:36 SUV
Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake.
Kut 15:20 SUV
Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
Hujatosheka?
Nimejikuta nacheka kwa sauti kwa hii "Comment" yako!1Nimejipiga ngumi kifuani mara tatu nikisema "mimi nimepatikana".