Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wanaume wengi kama sio wote tunataka hao vingangarika.
Hii niliwahi Kuiona hata China huko wanawake Wasomi wanateseka wameamua kununua Yale madildo yawafariji Kwa sababu wanaume wanawakwepa.
Kikubwa utii na amani full stop
Wanaume wasiojiamini ambao ni wengi.
Unajua kuna baadhi ya ishu tulikuwa tunadanganywa zamani ambazo kwa sasa ukifuatilia unagundua ulikuwa ni uongo.
Mojawapo ni suala la uoga. Wanaume ni wwngi ni waoga kuliko wanawake.
Sasa mwanaume anaogopa Mwanamke aliyesoma au mwenye pesa au mwenye mamlaka. Huo uoga ni wakijinga.
Sisi wengine tunafuata wanawake wenye sifa ambazo wanaume wengi wanaziogopa ikiwemo elimu kubwa, kipato kikubwa au cheo kikubwa.
Mwanaume mwoga huendeshwa na Mwanamke yeyote tuu. Hiyo ya kusema elimu sijui kipato au cheo ni kisingizio tuu